Mhhh huu urefu umezidi

NBA inamuhusu huyu jamaa, bac tu kazaliwa sehemu ya ovyo ka bongo...

Being tallest is not requirements but it help! Na kuna tall players and tall and talented players ask hasheem thabeet have an answer
 
Huyu jamaa mrefu ila anashindia viazi na makande hana afya nzuri.
 
Wewe dogo acha wivu. Watu warefu ndio classic bwana. Ninyi mnakula korie, mara mijusi ya kopo mtaacha kudumaa? Urefu safi sana! Unajua watu warefu ni wana sifa ya kuwa makini na wana confidence?

Unajua ulichoandika?? Au umekurupuka tu??
 
M huwa sitembei n m2 mrefu kama hivyo atakuwa ananichoresha 2,anafaa sana kwenye ujenzi w kitaa... Haina haja ya ngazi
 
Duuuh,huyu mshkaji atakuwa ni yale masalia ya mbegu ya jamii ya wanefili! Nafikiri huyu atakua anatokea kanda ya ziwa,hususani usukumani kwani wasukuma wana gene ya urefu.

Ndo ikoje hii??
 
Ndo ikoje hii??

Hao mkuu Bulldog ni jamii ya wanadamu waliokuwepo duniani mwanzoni kabisa walikuwa ni wamepanda sana,majitu ya ukweli.Ipo katika biblia kitabu cha mwanzo sura ya 6,ukianza na mstari wa 1.
 
NBA inamuhusu huyu jamaa, bac tu kazaliwa sehemu ya ovyo ka bongo...
Huyu jamaa ni wa Uganda, alafu ukumbuke kuwa bongo sio sehemu ya hovyo bali ni sehemu kama ilivyo kwenye NBA/US.
USA imekuwa kama unavyoiona leo sio kwa sababu iliumbwa hivyo bali kuna watu wamefanya kazi usiku na mchana.
Na zaidi hakuna watu wa.pum.avu mfano kukaa kwenye vikao ukijadili swala ambalo unajua matokeo yake uliyoyapanga mwenyewe huku ukijilipa posho nyingi kwa siku mpaka muda uishe.
Fuatilia hili ili ubadilishe mindset yako na kuweza kuwa productive katika nchi yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…