Katika mambo yaliyousikitisha umma wa wastaarabu wa Tanzania katika kampeni za Arumeru Mashariki ni kauli chafu iliyotolewa na mbunge wa mtera (sijui ni mheshimiwa au ni kichaa) Livingistone Lusinde. Pamoja na mambo maneno mengine aliyoongea kwa kujiamini ni suala la kudai kuwa Mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini alipata alipata bwana wakati akiwa mahabusu. Ni maneno ya aibu kutoka kwa mwanachama wa chama ambacho serikali yake inajitapa kuwa inafuata utawala wa sheria. Ni kauli ya kusikitisha ila kwa maana nyingine inataka kutupa ujumbe ufuatao:-
Kwa kuwa jeshi la magereza halijakanusha kutokea kwa kitendo hicho, na kwakuwa maneno hayo yalitoka kwa mtu wa CCM, hii inatuthibitishia kuwa hata kama Lema hakupata bwana, Serikali ya CCM ikishirikiana na jeshi la magereza huwa inaweka mafirauni inaowafahamu ndani ya mahabusu ili kuwafanyia vitendo vibaya watu ambao serikali ya CCM inawabambikizia kesi.
Kwa kuwa CCM haijamkemea wala kumwadhibu huyo mwanachama wake, hii inatufanya tuamini kuwa serikali ya CCM inafadhili na kusimamia vitendo vya udhalilishaji wa raia wake inayotamba kuwa waliiweka madarakani kwa ushindi wa Tsunami.
Wananchi wakimbeba kumpeleka jukwaani kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Hafsa Kazinja wa TOT akikamua Uwanja wa mpira wa Makiba
Mbunge wa Mtera, Mjumbea wa NEC ya CCM, Livingstone Lusinde aka Kibajaji akihutubia Makiba.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdalla Jma akihutubia mkutano wa kampeni uwanja wa mpira wa kijiji cha Makiba.
Nchemba akihutubia Makiba
Wabunge wa CCM Hawana tofauti na wamachinga wa kariakoo na wapiga debe
Masikini unatia huruma.Unakipwa shilingi ngapi hadi muda huu unaleta ***** hapa JF?
Katika mambo yaliyousikitisha umma wa wastaarabu wa Tanzania katika kampeni za Arumeru Mashariki ni kauli chafu iliyotolewa na mbunge wa mtera (sijui ni mheshimiwa au ni kichaa) Livingistone Lusinde. Pamoja na mambo maneno mengine aliyoongea kwa kujiamini ni suala la kudai kuwa Mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini alipata alipata bwana wakati akiwa mahabusu. Ni maneno ya aibu kutoka kwa mwanachama wa chama ambacho serikali yake inajitapa kuwa inafuata utawala wa sheria. Ni kauli ya kusikitisha ila kwa maana nyingine inataka kutupa ujumbe ufuatao:-
Kwa kuwa jeshi la magereza halijakanusha kutokea kwa kitendo hicho, na kwakuwa maneno hayo yalitoka kwa mtu wa CCM, hii inatuthibitishia kuwa hata kama Lema hakupata bwana, Serikali ya CCM ikishirikiana na jeshi la magereza huwa inaweka mafirauni inaowafahamu ndani ya mahabusu ili kuwafanyia vitendo vibaya watu ambao serikali ya CCM inawabambikizia kesi.
Kwa kuwa CCM haijamkemea wala kumwadhibu huyo mwanachama wake, hii inatufanya tuamini kuwa serikali ya CCM inafadhili na kusimamia vitendo vya udhalilishaji wa raia wake inayotamba kuwa waliiweka madarakani kwa ushindi wa Tsunami.
Cham chake hakija mchukulia hatua, wanachama wake walishangilia yale matusi ya nguoni ambayo ny ya aibu hata kuyatamka tena mbele ya watoto wadogo kabisa!
Ni aibu kwa chama,wanachama na watz wote kama huyu mtu hatachukuliwa hatua yoyote.
Ushahidi upo wazi kabisa, na kama hakuna sheria ya kumtia hatiani kwa namna yoyote ile basi sheria na zetu hazina maana yoyote.
Ashitakiwe mahakamani,
Wafuasi wa CDM walio wengi wamefanana kabisa na wamachinga wa kariakoo, wamejaa ushamba wa kupiga miluzi na kulia uchuro... ovyo kila waonapo kijani. Wana akili hawa ?
Kama binadamu wasio na hatia walipoteza maisha yao katika sakata la mabomu Gongo la Mbota na Mbagala na hakuna aliyewajibishwa? unategemea hili la Lusinde kuhojiwa?Katika mambo yaliyousikitisha umma wa wastaarabu wa Tanzania katika kampeni za Arumeru Mashariki ni kauli chafu iliyotolewa na mbunge wa mtera (sijui ni mheshimiwa au ni kichaa) Livingistone Lusinde. Pamoja na mambo maneno mengine aliyoongea kwa kujiamini ni suala la kudai kuwa Mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini alipata alipata bwana wakati akiwa mahabusu. Ni maneno ya aibu kutoka kwa mwanachama wa chama ambacho serikali yake inajitapa kuwa inafuata utawala wa sheria. Ni kauli ya kusikitisha ila kwa maana nyingine inataka kutupa ujumbe ufuatao:-
Kwa kuwa jeshi la magereza halijakanusha kutokea kwa kitendo hicho, na kwakuwa maneno hayo yalitoka kwa mtu wa CCM, hii inatuthibitishia kuwa hata kama Lema hakupata bwana, Serikali ya CCM ikishirikiana na jeshi la magereza huwa inaweka mafirauni inaowafahamu ndani ya mahabusu ili kuwafanyia vitendo vibaya watu ambao serikali ya CCM inawabambikizia kesi.
Kwa kuwa CCM haijamkemea wala kumwadhibu huyo mwanachama wake, hii inatufanya tuamini kuwa serikali ya CCM inafadhili na kusimamia vitendo vya udhalilishaji wa raia wake inayotamba kuwa waliiweka madarakani kwa ushindi wa Tsunami.
Wafuasi wa CDM walio wengi wamefanana kabisa na wamachinga wa kariakoo, wamejaa ushamba wa kupiga miluzi na kulia uchuro... ovyo kila waonapo kijani. Wana akili hawa ?
Watu walikuwa wanaenda kusikiliza sera CDM, Watoto na waruga ruga walikuwa wanakuja kuburudika CCM, HV JARIBU KUFIKIR KAMPEN ZA CCM BILA WASANII ZINGEKUAJE, NADHANI HAKUNA AMBAYE ANGEHUDHURIAWananchi wakimbeba kumpeleka jukwaani kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Hafsa Kazinja wa TOT akikamua Uwanja wa mpira wa Makiba
Mbunge wa Mtera, Mjumbea wa NEC ya CCM, Livingstone Lusinde aka Kibajaji akihutubia Makiba.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdalla Jma akihutubia mkutano wa kampeni uwanja wa mpira wa kijiji cha Makiba.
Nchemba akihutubia Makiba
Huyu sio Mheshimiwa,bali ni mhuni aliyekosa kuelimika na aliyekosa ustaarabu!hii ndio aina ya viongozi wa c.c.m ya sasa