Mkuu mtu hawezi leta ofisini kama yuko karibu?Tunaitaji mwasibu msaidizi awe na sifa zifuatazo.
Elimu kuanzia diploma.
Ajuwe kutumia Tally itakuwa bora zaidi. Kama hajui atafundishwa.
Ajuwe Kiswahili na Kingereza ( kusoma, kuandika na kuongea )
Kutumia computer ( microsoft office )
Kituo cha kazi kipo Msasani, Dar es Salaam.
Tuma maombi ambatanisha na CV tu. wpeter07@yahoo.com
Mwisho wa kutuma maombi ni 18 March 2021.
Sawa mkuuHatupokei hard copy, ukiitwa kwa interview ndio utakuja ofisini tuko Tirdo complex Block H 10.
Na wewe rafiki unapiga haya mahesabu??Mhasibu..🥂
Hakuna ninachojua mshkaji wanguNa wewe rafiki unapiga haya mahesabu??
Sawaa mkuuDar es Salaam, Msasani.
Aaah... Nilitaka kushangaa...Hakuna ninachojua mshkaji wangu
🥂Aaah... Nilitaka kushangaa...
Wakikunyima au kuacha kukuita kwenye usaili kwa sababu ya overqualified Basi watakuwa hawajitambuwi......Nimetuma maombi japo nimeover quality
Mkimuhitaji mwasibu kamili ntawatumia cv zanguTunaitaji mwasibu msaidizi awe na sifa zifuatazo...
Ni kweli hawajitambui, mwasibu ndio Nini?Wakikunyima au kuacha kukuita kwenye usaili kwa sabAbu ya overqualified Basi watakuwa hawajitambuwi......
Mhasibu..