D DOOKY JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 370 Reaction score 50 Jun 20, 2012 #1 Hatimaye aliyekuwa Mhariri wa Jambo Leo Willy Edward anaagwa sasa viwanja vya Mnazi Mmoja, Kibanda, Pinto amewaliza watu kwa hotuba za kusisimua. Nawasilisha
Hatimaye aliyekuwa Mhariri wa Jambo Leo Willy Edward anaagwa sasa viwanja vya Mnazi Mmoja, Kibanda, Pinto amewaliza watu kwa hotuba za kusisimua. Nawasilisha
NYENJENKURU JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,067 Reaction score 299 Jun 20, 2012 #2 Poleni sana ndugu jamaa na marafiki.