Miviongozi ya bongo inapenda majanga na misiba ili iuze sura, inakera sana, hata siku moja hutayasikia yakiongelea usalama mahala pa kazi, ngoja janga litokee matamko ndio yanaanza. Muogopeni Mungu viongozi wa bongo.
Hivi msafara kama huo wa kutoa pole na matamko unagharimu kiasi gani? maana ninakosa maana ya kuwa na wakuu wa mikoa, sisi ni masikini lazima tuwe tunajiuliza na hayo jamani.