Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Hahahahahahahahaha
Mbona unamtukana Nelkon?
Yaani unamfananisha Nelkon na TAPELI ambaye hajawahi kuandika hata kuasa kumi za maana!
Mkuu ZeMarcopolo,
Hivi bado Msigwa ana jadiliwa humu JF tena?
Mimi nilidhani tangu atapike ule upuuzi wake pale bungeni kuhusu Kinana, humu JF na taifa kwa ujumla tumempuuza, kumbe bado tu ana jadiliwa?
Hiyo mistari ya kukariri hata Mr. 2 au Godbless Lema anaweza kuisema.
Msigwa alijadiliwa vizuri tu hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/442937-msigwa-chaliii.html
Msigwa anabaki kuwa mmoja wa wabunge mbunge wachache sana ambaye akisimama kuchangia ma.sab.uri ya Mwigulu na Nape hu-vibrate kwa kasi ya ajabu
Mkuu, UDAKU wa Msigwa ulijadiliwa vizuri sana hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/442937-msigwa-chaliii.html
Msigwa is a redundant politician.
Msigwa tangu alivyojidhalilisha Bungeni na hotuba yake ya kidaku amekuwa akionekana mtu wa hovyohovyo tu.
Haha, naona hotuba ya Msigwa inawaumiza sana vichwa Lumumba street! Na kwa hakika amewashika pabaya. Maana hotuba imepata popularity isiyo ya kawaida. Na mtajibeba wanalumumba maana hakuna hata siku moja ambapo ukweli utazidiwa na uongo. Hakuna hata siku moja ambayo giza litaishinda nuru. Hebu jikumbusheni hotuba yake hapa:Mkuu ZeMarcopolo,
Hivi bado Msigwa ana jadiliwa humu JF tena?
Mimi nilidhani tangu atapike ule upuuzi wake pale bungeni kuhusu Kinana, humu JF na taifa kwa ujumla tumempuuza, kumbe bado tu ana jadiliwa?
Kufuru? Huu ndo uandishi wa habari wa kitanzania!
Tabata kiwanja gani?
Mtoa tarfa naomba ufafanuz plz.