Jaman mnyonge mnyongen ila haki yake mpeni, jana mh Ndugai aliongea very postive nakuwakata midomo wa ropokaji bungeni. Kuheshimiana ni jambo zuri sana. Naalipo uwa zaidi nipale aliposema watu wamepewa fursa zakuwa wa bunge ila sio kwamba ndio wanafaa sana nakujisahau nakuwatukana wengine! Kwakweli i wish kama Kunagazeti litaandika yote aliandika ni big subject to all Tanzanian.
Kwa sasa hili taifa limepoteza hazina ya wabunge wenye busara, wamebaki wachache kama ******, lukuvi, mama ana abdala na mama sofia simba.
Una akili kama za Sophia Simba zile Ambazo Kubenea alizisema katika Gazeti la Mwanahalisi.
Kwa sasa hili taifa limepoteza hazina ya wabunge wenye busara, wamebaki wachache kama ******, lukuvi, mama ana abdala na mama sofia simba.
Duh...! ndo umefikia hapo!? Ni mtazamo wako lakini, naheshimu uhuru wako wa kutoa mawazo.
Jaman mnyonge mnyongen ila haki yake mpeni, jana mh Ndugai aliongea very postive nakuwakata midomo wa ropokaji bungeni. Kuheshimiana ni jambo zuri sana. Naalipo uwa zaidi nipale aliposema watu wamepewa fursa zakuwa wa bunge ila sio kwamba ndio wanafaa sana nakujisahau nakuwatukana wengine! Kwakweli i wish kama Kunagazeti litaandika yote aliandika ni big subject to all Tanzanian.
alisema wabunge wanaonge hovyo kwasababu kuna magazeti na "mamitandao" yanaandika kuwa hao wabunge nu mashujaa!
Kwa sasa hili taifa limepoteza hazina ya wabunge wenye busara, wamebaki wachache kama ******, lukuvi, mama ana abdala na mama sofia simba.
Kama hao wachovu wewe unaona ndo wabunge wamaana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana wewe ni wakuhongwa pilau na kofia tu.Kwa sasa hili taifa limepoteza hazina ya wabunge wenye busara, wamebaki wachache kama ******, lukuvi, mama ana abdala na mama sofia simba.
Kwa sasa hili taifa limepoteza hazina ya wabunge wenye busara, wamebaki wachache kama ******, lukuvi, mama ana abdala na mama sofia simba.
Kama hao wachovu wewe unaona ndo wabunge wamaana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana wewe ni wakuhongwa pilau na kofia tu.