Acha mfananisha Majaliwa na mambo ya kijinga!!Kama vijana tungekuwa tunajituma kama Makonda wazee wangetuamini na kutupisha kwenye viti vyao tukae, maana wasingekuwa na hofu na sisi labda kwa wale wenye uchu wa madaraka kama yule mzee wetu wa Bunda.
Kazi ya Meya wa Dar es Salaam ni kama vile haipo tena. Naomba Rais Magufuli kama ananisikiliza kwa heshina na taadhima ambadilishie kazi huyu kijana awe Waziri Mkuu, over!!!
MAKONDA Lili ni jembe,Kama vijana tungekuwa tunajituma kama Makonda wazee wangetuamini na kutupisha kwenye viti vyao tukae, maana wasingekuwa na hofu na sisi labda kwa wale wenye uchu wa madaraka kama yule mzee wetu wa Bunda.
Kazi ya Meya wa Dar es Salaam ni kama vile haipo tena. Naomba Rais Magufuli kama ananisikiliza kwa heshina na taadhima ambadilishie kazi huyu kijana awe Waziri Mkuu, over!!!
Majaliwa ni jembe pia lakini angefaa wizara nyeti kama ya Utalii na mali asili na kumpunzisha mzee wa watu mwenye kesho chache akapunzike ale pension yake. Hawa wazee wameshafanya kazi vya kutosha kumwambia akimbizane tena na kasi Rais Magufuli ni kutomtendea haki. Kumtumbua au kumkalipia mzee kama huyu kunaweza kumpunguzia afya yake.Acha mfananisha Majaliwa na mambo ya kijinga!!