mti wa bib
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 138
- 120
Duh!!! mbona Membe kawa Tishio kiasi hiki mpaka mashabiki kuanza kulia lia hapa mitandaoni.Kuna watanzania wenye akili finyu na wasio itakia Tanzania maendeleo wanashonda jf kuandika habar za kipuuzi kuhusu Tanzania yetu na wengi Wao ni vijana ambao wamemaliza vyuo wanasubr waajiriwe kuli kujiajir wenyew,wanashinda kukufananisha na watu wa ovyo sana na kukuombea 2020 usiwe rais wa Tanzania,,,, lkn na elimu zao za matopeni nawambia hakuna rais atakaye kuja kutoke km magufuri hapa Tanzania na mtamkumbuka na akili zenu ndogo,,pigeni kaz sio na hapa ni kaz tu..
Ulivyoandika tu unaonyesha bora hata ya hao uliowaita wa matopeni, kwani angalau wanajielewa na kuhoji.Kuna watanzania wenye akili finyu na wasio itakia Tanzania maendeleo wanashonda jf kuandika habar za kipuuzi kuhusu Tanzania yetu na wengi Wao ni vijana ambao wamemaliza vyuo wanasubr waajiriwe kuli kujiajir wenyew,wanashinda kukufananisha na watu wa ovyo sana na kukuombea 2020 usiwe rais wa Tanzania,,,, lkn na elimu zao za matopeni nawambia hakuna rais atakaye kuja kutoke km magufuri hapa Tanzania na mtamkumbuka na akili zenu ndogo,,pigeni kaz sio na hapa ni kaz tu..
Kuna watanzania wenye akili finyu na wasio itakia Tanzania maendeleo wanashonda jf kuandika habar za kipuuzi kuhusu Tanzania yetu na wengi Wao ni vijana ambao wamemaliza vyuo wanasubr waajiriwe kuli kujiajir wenyew,wanashinda kukufananisha na watu wa ovyo sana na kukuombea 2020 usiwe rais wa Tanzania,,,, lkn na elimu zao za matopeni nawambia hakuna rais atakaye kuja kutoke km magufuri hapa Tanzania na mtamkumbuka na akili zenu ndogo,,pigeni kaz sio na hapa ni kaz tu..
Wanampenda vichaa wenzieHofu ya nini wakati anajinasibu kuwa "anapendwa"?