MH,LISSU MATATANI CHADEMA

Wewe unashida sana wenyekiti wa chadema. Akikaa Mbowe unaona shida kwasababu anaweza na sisi tunamtaka mbowe. Umseme vibaya uchocheee uwezavyo. Uchonganishe na kila kiongozi lakini wenye akili wanakujua vizuri ubovu wako hakina shida.
 
Dada acha umbea ,mambo ya Chadema waachie Chadema wenyewe hayakuhusu.

Chama cha demokrasia tena kumbe kina watu wake sio kila mtu, demokrasia gani hiyo? Mi nilifikiri ingekuwa vyema tu akajibiwa hoja zake, kama ni uongo ashushuliwe lakini si kumkataza haki yake ya kikatiba.
 
Mimi siongei sana 2019 kuna watu watakuja kula matapishi yao
 
Tanzania ya viwanda ndio hii Rais anawaza kuchapisha hela bila kutambua kua anasukuma ukuta wakati yupo hapo hapo yaani work done is equivalent to zero.
 
Huu ni Uchonganishi mkubwa .
 
Hivi unajitambua kwamba unamtumikia shetani 100%? Naoma umejizatiti kuwa adui wa Mungu, bila kujua kwamba shetani hana uwezo kuliko Mungu.

Endelea. Utalipwa.



 
if fools went not to market bad wears would not be sold, so they will buy this cr.ap
 
Kazi ipo kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti 2019 mana sarakasi ndo zinaanza mapema namna hii
 
Haya...change yetu lini tuahidi hapahapa kabisaa tujue!
 
NYAKURURU uwezo wako wa kufikiri ndiyo umefika mwisho ?
 
"Kamwe Usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi" Shimba Ya Buyenze 2015

Kwa mwanasiasa lolote na cho chote kinawezakana popote na saa yo yote humu na pale humo!
 
Mkuu ni sawa lakini kwa hakika nakuambia Lissu ana agenda yake na anajitengeneza. Kw hulka ya Lissu nadhani anaona viongozi wake hawapigi harakati, wamepoa, hivyo anatamani awe kinara chamani. Haya maneno utakuja kuyakumbuka. Tuombe uhai.
 
Kamanda wa majeshi ya propaganda za ulaghai; endelea na upuuzi wako upate posho zako toka CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…