Kama waziri alikuwa anapewa taarifa za mafanikio ya kuwakamata majangili siyo ya kubaka akina mama na watoto! Yeye aliomba msaada wa vyoombo vya ulinzi na usalama; waliompa msaada na kusimamia ile opereeshini ni Waziri wa Ulinzi, Mambo ya Ndani na TISS hapa waliokuwa wanatakiwa kuwajibishwa ni Nahodha, Nchimbi, yule wa TSS na yule wa mifugo aliekaa kimya wafugaji wakiwa wanauawa...Kagasheki kilichomshinda ni kusimamia Operation na kupata taarifa ya nini kinaendelea ktk operatio ile. Kwa stage ile unaanza wapi kumsafisha Kagasheki?
Kagasheki kilichomshinda ni kusimamia Operation na kupata taarifa ya nini kinaendelea ktk operatio ile. Kwa stage ile unaanza wapi kumsafisha Kagasheki?
Sikumbuki na sitaki kukumbushwa,mwakyembe aliendekeza njaa akahongwa uwaziri,kama yeye jasiri na mkweli atuambie alilishwa sumu au????
Wanaomfahamu Lembeli... watasema... hoja na maksudi ya report ya team yake ililenga kumtoa Kagasheki. Maana yeye mwenyewe Lembeli ni mtuhumiwa wa ujangili wa kulisha mifugo yake katika hifadhi za wanyamapori. Hajali kitu bali anataka mambo yake yaende tu. Kama alikuwa na na niya ya dhati kwanini report yake haikutaja waliohusika? maana kila aliyehusika na kadhia ile anajulikana na serikali imewalipa DSA za kufanya kazi ile. Akina lembeli wameshindwa nini kuweka wazi wahusika? Ukiangalia kiundani nutaona kabisa ni visasi na waziri wa maliasili ....na Lembeli ameinyemelea ile nafari muda mrefu sana. Sijui Raisi Kikwete kama atampa hiyo nafasi huyu jangiri. yetu macho na masikio. Wanaomfikia Mkulu..wamueleze... Lembeli hafai kupewa uwaziri wowote...ni mnafiki na ......Hadi lini tutaacha uoga?
Lembeli amethubutu na ameweza anapaswa kupongezwa na sio kuogopeshwa bila kujalisha Anatoka chama gani!!
Baada ya sakata la Richmond lililopelekea waziri mkuu Edward Lowasa kujiuzuru,mambo kadhaa yalimuandama Dk. Mwakyembe ambaye alikua mwenyekiti ktk uchunguzi wa kashfa ya Richmond.
1.May 2009 alipata ajali mbaya ya gari mkoani Iringa,Wachunguzi wa mambo walidai ilikua ajali ya kutengenezwa.
2.October 2011 alipata ugonjwa wa ajabu wa kubabuka ngozi ya mwili na kutoa unga, Wachunguzi wa mambo walidai alipewa sumu imuondoe taratibu.
3.Alifanikiwa kuingia ktk baraza la mawaziri,Wachunguzi wa mambo walidai umahiri wake wa kuendesha tume ya richmond ulimsaidia kua waziri ingawa kuna mambo kadhaa mazito aliyoyasema ni vigumu kuyaweka hadharani.
Swali kwake Mh James Lembeli:
1.Kwakua repoti ya kamati yake imeangusha mawaziri wanne,
2.Kwakua amegusa maslahi ya baadhi ya watendaji,
3.Kwakua kuna nafasi za wazi za kupata kuingia ktk baraza la mawaziri.
JE AMEJIPANGAJE?
kiongozi sio kuongoza kamati, kiongozi anazaliwa, yy mwenyewe anaweza kupewa uwaziri akafanya vibaya kuliko waliojiuzulu, hivyo inategemea kama ana kipawa cha uongozi
msiwe na wasiwasi tutamlinda na atakeyemgusa tambalamahimu hata chawa haatabaki kwao! chezea Gambushi nyie?tena awe makini sana .