Kwahiyo unataka iweje?
Ona naye huyu eti The Intelligent?
Haaaa haaa !! Wengine wanashindwa kukaa kimya , mi alia ha hoi aliposema, hata mgonjwa anapimwa damu kidogo tu , hatuchukui dumu la lita tano , ili tujue mtu ana malaria au ukimwi ,,,,
yap jamaa ni kichwa japo hana elimu kubwa hapo anagusia SAMPLING hata mm nliipenda hyo...
Yaani hii output ndio mchizi anavuta kilo 3 kwa siku, na wewe unamuona kichwa?? si bora angekaa kimya ndio katiba mpya itaandikwa hivi??
sugu ni chizi..laana ya kumtelekeza mke wake na mtoto inamtafuna
Haha haaa hakusema ukimwi bali ngoma.Haaaa haaa !! Wengine wanashindwa kukaa kimya , mi alia ha hoi aliposema, hata mgonjwa anapimwa damu kidogo tu , hatuchukui dumu la lita tano , ili tujue mtu ana malaria au ukimwi ,,,,
wahuni waheshimiw wako wengi sana...sugu mwenyewe anasubiri.Hivi huyu mhishimiwa hajaachaga uhuni?
jilaumu na wewe kumchagua kikkwete kuwa raisi..Nawalaumu sana watu waliomchagua SUGU kuwa Mbunge!
sugu ni chizi..laana ya kumtelekeza mke wake na mtoto inamtafuna
Hii hata mimi ilinikosha sanaHaaaa haaa !! Wengine wanashindwa kukaa kimya , mi alia ha hoi aliposema, hata mgonjwa anapimwa damu kidogo tu , hatuchukui dumu la lita tano , ili tujue mtu ana malaria au ukimwi ,,,,
Yaani hii output ndio mchizi anavuta kilo 3 kwa siku, na wewe unamuona kichwa?? si bora angekaa kimya ndio katiba mpya itaandikwa hivi??