C canfi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1,411 Reaction score 1,585 Sep 8, 2022 #1 Inaonekana timu zetu zinakurupuka kupita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......
E Emmahu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 977 Reaction score 1,715 Sep 8, 2022 #3 Wampe timu permanently Sebastian Nkoma ni kocha mzuri. Anafundisha soka la kisasa lenye intensity ya juu na high pressing.
Wampe timu permanently Sebastian Nkoma ni kocha mzuri. Anafundisha soka la kisasa lenye intensity ya juu na high pressing.
Liutenant JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 620 Reaction score 1,014 Sep 8, 2022 #4 Simba inaendeshwa kienyeji sana siku hizi
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Sep 8, 2022 #5 Watu wa Tanga hawaaminiki kabisa daah....... Mikia wamevurugwa kabisa
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Sep 8, 2022 #6 canfi said: Inaonekana timu zetu zinakurupuka kopita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......View attachment 2350637 Click to expand... Sasa kama huyo Mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja
canfi said: Inaonekana timu zetu zinakurupuka kopita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......View attachment 2350637 Click to expand... Sasa kama huyo Mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja
C canfi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1,411 Reaction score 1,585 Sep 8, 2022 Thread starter #7 Emmahu said: Wampe timu permanently Sebastian Nkoma ni kocha mzuri. Anafundisha soka la kisasa lenye intensity ya juu na high pressing. Click to expand... Ok
Emmahu said: Wampe timu permanently Sebastian Nkoma ni kocha mzuri. Anafundisha soka la kisasa lenye intensity ya juu na high pressing. Click to expand... Ok
C canfi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1,411 Reaction score 1,585 Sep 8, 2022 Thread starter #8 Chukwu emeka said: Watu wa Tanga hawaaminiki kabisa daah....... Mikia wamevurugwa kabisa Click to expand... Wanaaminika bhana
Chukwu emeka said: Watu wa Tanga hawaaminiki kabisa daah....... Mikia wamevurugwa kabisa Click to expand... Wanaaminika bhana
C canfi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1,411 Reaction score 1,585 Sep 8, 2022 Thread starter #9 mzabzab said: Sasa kama huyo mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja Click to expand... Ndo hapo. Barbra FC
mzabzab said: Sasa kama huyo mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja Click to expand... Ndo hapo. Barbra FC
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,195 Reaction score 4,532 Sep 8, 2022 #10 Mgunda =Tanga. Matola =Kigoma. kwenye benchi la ufundi patachimbika *****.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Sep 8, 2022 #11 Liutenant said: Simba inaendeshwa kienyeji sana siku hizi Click to expand... Sema TFF ndio inaendesha kienyeji maana wao ndio wanatakiwa kuwa na orodha ya wahitimu wote wa kozi za ukocha
Liutenant said: Simba inaendeshwa kienyeji sana siku hizi Click to expand... Sema TFF ndio inaendesha kienyeji maana wao ndio wanatakiwa kuwa na orodha ya wahitimu wote wa kozi za ukocha
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Sep 8, 2022 #12 canfi said: Ndo hapo. Barbra FC Click to expand... Hapa sasa magumashi ya tff yataonekana tena. Sie hatuko serious kabisaaa
canfi said: Ndo hapo. Barbra FC Click to expand... Hapa sasa magumashi ya tff yataonekana tena. Sie hatuko serious kabisaaa
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,692 Reaction score 272,561 Sep 8, 2022 #14 canfi said: Inaonekana timu zetu zinakurupuka kopita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......View attachment 2350637 Click to expand... Noma kweli ! hivi kumbe alichukuliwa kama kocha au kama mganga ?
canfi said: Inaonekana timu zetu zinakurupuka kopita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......View attachment 2350637 Click to expand... Noma kweli ! hivi kumbe alichukuliwa kama kocha au kama mganga ?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Sep 8, 2022 #15 Mambo ya simba queens tena πππ
TADPOLE JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 3,145 Reaction score 10,422 Sep 8, 2022 #16 canfi said: Inaonekana timu zetu zinakurupuka kupita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......View attachment 2350637 Click to expand... Simba wanatia hadi huruma..wamekuwa timu ya ungaunga mwanahawana tofauti na Faru Jeuri siku hizi.
canfi said: Inaonekana timu zetu zinakurupuka kupita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......View attachment 2350637 Click to expand... Simba wanatia hadi huruma..wamekuwa timu ya ungaunga mwanahawana tofauti na Faru Jeuri siku hizi.
Dr wa ukweli JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 900 Reaction score 274 Sep 8, 2022 #17 mzabzab said: Sasa kama huyo mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja Click to expand... Mgunda alipata supplementary
mzabzab said: Sasa kama huyo mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja Click to expand... Mgunda alipata supplementary
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,692 Reaction score 272,561 Sep 8, 2022 #18 Liutenant said: Simba inaendeshwa kienyeji sana siku hizi Click to expand... Hivi kwanza kuna uongozi kweli hapo Simba ?
Liutenant said: Simba inaendeshwa kienyeji sana siku hizi Click to expand... Hivi kwanza kuna uongozi kweli hapo Simba ?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,692 Reaction score 272,561 Sep 8, 2022 #19 TADPOLE said: Simba wanatia hadi huruma kmmae..wamekuwa timu ya ungaunga mwanahawana tofauti na Faru jeuri siku hizi Click to expand... Timu apewe Mzee Kilomoni
TADPOLE said: Simba wanatia hadi huruma kmmae..wamekuwa timu ya ungaunga mwanahawana tofauti na Faru jeuri siku hizi Click to expand... Timu apewe Mzee Kilomoni
Liutenant JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 620 Reaction score 1,014 Sep 8, 2022 #20 Erythrocyte said: Hivi kwanza kuna uongozi kweli hapo Simba ? Click to expand... Kanjibai kashapiga hela anaanza uswahili.
Erythrocyte said: Hivi kwanza kuna uongozi kweli hapo Simba ? Click to expand... Kanjibai kashapiga hela anaanza uswahili.