Mbigirikavu
Senior Member
- Aug 19, 2022
- 101
- 118
Ha ha haaaaaaHilo li bodi lipo lipo tuu bora hata bod za gypsum zina ubora.
Ishu ni game plan.Aache uoga Mikia wanawachezaji 28
Michezo ya kibahasha hiiNaona mlikuwa mnaicheka Yanga eti "wanalalamika.......",mkazani labda Yanga watakuwa kwenye hali mbaya.
Mgunda lazima alalamike kwanza wamechelewa kumwambia wakati tayari kishaplan,pili adhabu ni ya kipuuzi na kipumbavu sabau kupeana mikono ni fair play sio lazima.
So Mgunda lazima awe mkali sababu ,Chama ndio Key player wa Simba,unapo msimamisha kwa sababu za kipuuzi unaharibu game plan nzima ya kocha.
Kwa Yanga wataumia ila Aziz K kuna replacement yake ila kwa Chama hamna replacement.
Ila tusiwalaumu TFF kwani hizi sheria zimepitishwa na viongozi wa club zetu wasiojua nini maana ya fair play na leo zinawacost kwenye club zao.Mgunda ana haki ya kulalamika, wewe tokea mechi ya Yanga na Simba mpaka leo ni kama wiki tatu,siku zote walikuwa wapi kufanya haya maamuzi.
Viongozi wamezingua. Hii adhabu inaweza ikaamua bingwa nani.Michezo ya kibahasha hii
Wamekata tamaa mechi za kimataifa. Tutapata taabu sanaViongozi wamezingua. Hii adhabu inaweza ikaamua bingwa nani.
Yanga walilalamikia tff kumfungia hajji.Wakati Yanga wanailalamikia hiyo bodi nyie mlikuwa mnakejeli sasa makolo limewakuta
Morrison alifungiwa mechi 3 situation kama hii wanayolalamikia makoloYanga walilalamikia tff kumfungia hajji.
Hilo yanga hawakulalamika. Kwa sababu malalamiko ya hovyo yalikuwa mengi, wakaacha hilo la maana.Morrison alifungiwa mechi 3 situation kama hii wanayolalamikia makolo