ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
Kama ni tatizo la muda mrefu nenda kwenye hospitali kubwa upimwe ili kugundua tatizo.
Namjua mtu alikuwa anasumbuliwa na hilo tatizo kaenda Muhimbili kapimwa na imegundulika kuna wadudu walikuwa wanashambulia mgongo wake.
Na tayari ameanza matibabu
Kuna mtu alifanya MRI na bado hawakuona kitu katika mgongo wake, anapatwa na maumivu hasa akiammka asubuhi ama akisimama kwa muda mrefu, afanyeje?Nenda kafanye kipimo cha MRI ukishapata findings ndio uje humu utuulize
Mimi nitakuelekeza nini cha kufanya
mm nilikuwa na tatizo km hilo aisee..mgongo ulikuwa unauma mno...kuna dawa za kiarabu nikatumia bhana...zimekata kila kitu...maumivu yote kwisha..km bd tatzo lipo ni PM nikupe maelezo..Kwa muda sasa nasikia maumivu makali mgongoni ila mpaka sasa sijatumia dawa tofauti kuchua jana nilienda saloon wakanichua alafu niliisha badili godoro nilikuwa na super banco nimeiacha nimenunua Dodoma lakini bado hali haijabadilika ila kwa ufupi ninakuwa kwenye gari zaidi ya masaa sita kwa siku lakini siendeshi.
Leo nimechukua bed cover nikaitandika kwenye sakafu nikalala kidogo najisikia afadhali.
Najitahidi kurefusha ili kupunguza maswali.
Nenda hospitali.. Humu hatuwezi kukusaidia zaidi ya kukushauri tu..Kwa muda sasa nasikia maumivu makali mgongoni ila mpaka sasa sijatumia dawa tofauti kuchua jana nilienda saloon wakanichua alafu niliisha badili godoro nilikuwa na super banco nimeiacha nimenunua Dodoma lakini bado hali haijabadilika ila kwa ufupi ninakuwa kwenye gari zaidi ya masaa sita kwa siku lakini siendeshi.
Leo nimechukua bed cover nikaitandika kwenye sakafu nikalala kidogo najisikia afadhali.
Najitahidi kurefusha ili kupunguza maswali.
mm nilikuwa na tatizo km hilo aisee..mgongo ulikuwa unauma mno...kuna dawa za kiarabu nikatumia bhana...zimekata kila kitu...maumivu yote kwisha..km bd tatzo lipo ni PM nikupe maelezo..
mm nilikuwa na tatizo km hilo aisee..mgongo ulikuwa unauma mno...kuna dawa za kiarabu nikatumia bhana...zimekata kila kitu...maumivu yote kwisha..km bd tatzo lipo ni PM nikupe maelezo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hellow...samahani na mimi naomba msada ndugu.mm nilikuwa na tatizo km hilo aisee..mgongo ulikuwa unauma mno...kuna dawa za kiarabu nikatumia bhana...zimekata kila kitu...maumivu yote kwisha..km bd tatzo lipo ni PM nikupe maelezo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa hii inapatikanajemm nilikuwa na tatizo km hilo aisee..mgongo ulikuwa unauma mno...kuna dawa za kiarabu nikatumia bhana...zimekata kila kitu...maumivu yote kwisha..km bd tatzo lipo ni PM nikupe maelezo..
Sent using Jamii Forums mobile app