jamani nawapa hii nihatari walimu waliamua kugoma kimya kimya tangu 2010 ndyo maana matokeo hako hivi na mkakati ni kufika asilimi 95% ya kufelisha pengine serikalia itasikia,si unaona leo angalau kwa kufeli watoto wabunge wameanza kupiga kelele haki za walimu