Mgomo wa wafanyabiashara trh 05/03/2015

sisi hatujauona uko upande gani huo mgomo.
 

Hapa umejazwa na hasira tu ila huna unachojua.
 

Hapo umenena nakuunga mkono asilimia MIA. Serikali iache unyanyasaji kama huu. Angalia siku kama ya Leo taifa linaingia hasara kubwa sna
 
Mlipakodi tupo pamoja,hao wajinga tutapambana nao kwa hoja mkuuu!!!asante kw angalizo
 
Serikali imesahau kama uchaguzi Mkuu umefika , inawakorofisha wapiga kura
 
Hiv udhalimu huu kwa minja anaye tetea wafanya biashara wazawa utaisha lin ?Ccm hamponi endeleen ,na huo.ufedhuli mtaona...vijana wetu.pale kariakoo na kwinginepo mnawapangia kulipa kodi mpaka wafunge biashara....ila wachina kisa wanafadhili ccm no tax .
 
Minjaa kwanza biashara badae....tuone mtaiba nin ,leo mmepoteza kodi za kushibisha matumbo yenu ccm....
 

Hayo mabilioni ya kodi za wafanyibiasha yako wapi? Wafanyabiashara gani unaowazungumzia? hawa wakwepaji wakubwa wa kulipa kodi? Safari hii hawana kwa kukwepea wanatakiwa kulipa kodi, hawataki wafunge maduka hata mwezi mzima bidhaa zao zidode ndani mwenye nia ya kufanya biashara watafungua.
 
Watu wa type hii,nimewajibu kweny first mchango...wewe upo kwny kundi lile,,,hakuna kitu kibaya kwny politics kama kuwapa watu uongoz ambao hawajui ,what is on the ground phyzcaly,,,kiongoz anatakiwa awe yule anajua last consmer anapata shda gani
Sasa niny ambao hamjui shda mnabwabwaja tu... nchi yyt yenye maendeleo huwawekea mazingra rafk ya wafanyabiashara...nitajieni conducive environment ambayo gvnment hii imeweka kw wafanyabiashara!! Weka mazngra rafk kw wafanyabiashara ndy ukusanye kodi ya marhani
!!!
 

Mkuu umenena
 
Tusipolipa kodi nchi itaenda tu na mafisadi watakuwa hawana cha kuiba
 

Biashara inaenda na 'demand' - Wajasilia mali 'gamblers' wakiona demand wata-take advantage na kujaza mafasi, wakwepa kodi si wa kuchekewa. mimi mfanyakazi ninalipa kodi kwa lazima na nikinunua bidhaa nalipishwa kodi na wakwepa kodi, mazingira gani rafiki yanatakiwa ktk kulipa kodi?

Elimu inatolewa kabla ya kuanza biashara. Hujakata leseni unaambiwa ni lazima kulipa kodi hutaki usifungue biashara. hupati leseni bila kusajiliwa na TRA Unataka Serikali iwalambe miguu wakwepakodi? walipe watapewa nishani sio wakwepe na wadai nishani.
 
Kodi hawajakataa kulipa,wap umeona wanakataaa,kama wangekua hawalip kodi wangepata wapi environment ya biashara??ivi umefuatilia madai yao??soma uzi vizuri kifa urongo ili ufe ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…