Binafsi siungi mkono matumizi ya mwenge
ambao hatuelewi unatumia imani gani?
La kushangaza ni nembo muhimu kwenye
mabango ya mgombea wa chama tajwa hapo juu
Karibuni nyote mnieleweshe.
Mwenge wa kijani ni alama ya matumaini kama majani mororo ya kijani.
CHADEMA ndio wanatumia alama ya kidini ile ya vidole viwili.Ile ni alama ya freemason.Wanaponyoosha vidole viwili wanachora alama V iliyopo hapo chini kwenye nembo ya freemasons niliyoonyesha hapo chini.Na ndio maana mwenyekiti wa CHADEMA anaitwa FREEMASON MBOWE ila Kuficha siri akakatiza jina na kuitwa FREEMAN MBOWE.
Mnaoshabikia CHADEMA mnashabikia ma free mason ndio maana hamjielewi mnashabikia hadi mafisadi.Leo mnasema huyu fisadi kesho mnasema si fisadi.Hamjielewi.Kila mkinyoosha ile alama ya vidole viwili mkisema people`s power mnashanbikia nguvu za freemason.Ndio maana unaona CHADEMA wanaweweseka kwa Lowasa hadi basi nguvu za giza za freemason na vidole vyenu viwili zimeshawavamia.Alama hiyo ya V hutumiwa sana na freemasons wanaojuana wanaposalimiana
Wana janvi naamini nyote mu-wazima.
Naomba tujadili au naomba kujua kwa anayefahamu anifafanulie
dhana kamili ya mwenge ambao hupewa heshima kubwa hapa nchini
na kutumia fedha nyingi katika mbio zake huku madarasa ya wanafunzi
hayana madawati na vitu muhimu mashuleni.
Ukiangalia mabango yote yanayomnadi mgombea huyo
utaona katika herufi ya kwanza ya jina la mgombea yaani M imebeba alama ya mwenge,
Na ni kila bango na kipeperushi,swali langu ni nini uhusiano wa chama hiki
au nchi hii na mwenge? Je mwenge ni alama ya kisiasa au alama ya kiimani?
Tumekuwa tukiaminishwa kwamba nchi hii haina dini,
na kweli jambo hili linasifika kututengenezea amani ya nchi
ila najiuliza je mwenge ni nini? maana hakuna sababu ya kisayansi
inayothibitisha uwepo wa faida za Mwenge.Zamani Tuliambiwa unaleta matumaini N.k
Mambo hayo hayana uthibitisho kisayansi bali kiimani,je imani hiyo ni ya dini gani
maana serikali haina dini ila watu wake wana dini.
Kama mwenge hauna uthibitisho wa kisayansi kuleta matumaini
bali imani,na imani hii si ya dini yoyote bali ni imani ya asili
je dini ya serikali au ni imani ya asili? Na kama jibu ni ndiyo
tunaweza kupinga vitendo vinavyoambatana na imani za asli ambazo
tunaziita za kishirikina?
Binafsi siungi mkono matumizi ya mwenge
ambao hatuelewi unatumia imani gani?
La kushangaza ni nembo muhimu kwenye
mabango ya mgombea wa chama tajwa hapo juu
Karibuni nyote mnieleweshe.
Mkuu ule mwenge ni wa njano,au siku hizi na njano inaitwa kijani?Mwenge wa kijani ni alama ya matumaini kama majani mororo ya kijani.
CHADEMA ndio wanatumia alama ya kidini ile ya vidole viwili.Ile ni alama ya freemason.Wanaponyoosha vidole viwili wanachora alama V iliyopo hapo chini kwenye nembo ya freemasons niliyoonyesha hapo chini.Na ndio maana mwenyekiti wa CHADEMA anaitwa FREEMASON MBOWE ila Kuficha siri akakatiza jina na kuitwa FREEMAN MBOWE.
Mnaoshabikia CHADEMA mnashabikia ma free mason ndio maana hamjielewi mnashabikia hadi mafisadi.Leo mnasema huyu fisadi kesho mnasema si fisadi.Hamjielewi.Kila mkinyoosha ile alama ya vidole viwili mkisema people`s power mnashanbikia nguvu za freemason.Ndio maana unaona CHADEMA wanaweweseka kwa Lowasa hadi basi nguvu za giza za freemason na vidole vyenu viwili zimeshawavamia.Alama hiyo ya V hutumiwa sana na freemasons wanaojuana wanaposalimiana
Mwenge wa kijani ni alama ya matumaini kama majani mororo ya kijani.
CHADEMA ndio wanatumia alama ya kidini ile ya vidole viwili.Ile ni alama ya freemason.Wanaponyoosha vidole viwili wanachora alama V iliyopo hapo chini kwenye nembo ya freemasons niliyoonyesha hapo chini.Na ndio maana mwenyekiti wa CHADEMA anaitwa FREEMASON MBOWE ila Kuficha siri akakatiza jina na kuitwa FREEMAN MBOWE.
Mnaoshabikia CHADEMA mnashabikia ma free mason ndio maana hamjielewi mnashabikia hadi mafisadi.
Mkuu unashirikisha ubongo au makalio?

Nani kakwambia ana ubongo?
Mwenge wa kijani ni alama ya matumaini kama majani mororo ya kijani.
CHADEMA ndio wanatumia alama ya kidini ile ya vidole viwili.Ile ni alama ya freemason.Wanaponyoosha vidole viwili wanachora alama V iliyopo hapo chini kwenye nembo ya freemasons niliyoonyesha hapo chini.Na ndio maana mwenyekiti wa CHADEMA anaitwa FREEMASON MBOWE ila Kuficha siri akakatiza jina na kuitwa FREEMAN MBOWE.
Mnaoshabikia CHADEMA mnashabikia ma free mason ndio maana hamjielewi mnashabikia hadi mafisadi.Leo mnasema huyu fisadi kesho mnasema si fisadi.Hamjielewi.Kila mkinyoosha ile alama ya vidole viwili mkisema people`s power mnashanbikia nguvu za freemason.Ndio maana unaona CHADEMA wanaweweseka kwa Lowasa hadi basi nguvu za giza za freemason na vidole vyenu viwili zimeshawavamia.Alama hiyo ya V hutumiwa sana na freemasons wanaojuana wanaposalimiana
Hayo majina tu. yeye alichagua jina?Na ndio maana mwenyekiti wa CHADEMA anaitwa FREEMASON MBOWE ila Kuficha siri akakatiza jina na kuitwa FREEMAN MBOWE.
hiyo ni nembo au vifaa vya mathematical set.