Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 25, 2012 #1 Hii tabia ya kuwapa majina watoto bilakufanya tafakuri inaweza kuathiri wengine kisaikolojia Nauliza kuhusu jina la Mgombea kwa iketi ya Gamba A.K.A CCM Arumeru Mashariki anayeitwa SIOI........maana yake nini? Je inawezekana Haoi/hana mke?
Hii tabia ya kuwapa majina watoto bilakufanya tafakuri inaweza kuathiri wengine kisaikolojia Nauliza kuhusu jina la Mgombea kwa iketi ya Gamba A.K.A CCM Arumeru Mashariki anayeitwa SIOI........maana yake nini? Je inawezekana Haoi/hana mke?
Mr. Bigman JF-Expert Member Joined May 7, 2011 Posts 2,560 Reaction score 1,303 Feb 25, 2012 #2 Kiswahili sahihi maana yake hataki kuwa na mke au hatakuja kuoa milele daima! Ha! ha! ha! haa! Kaaazi kweli kweli
Kiswahili sahihi maana yake hataki kuwa na mke au hatakuja kuoa milele daima! Ha! ha! ha! haa! Kaaazi kweli kweli
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 25, 2012 Thread starter #3 ukiunganisha majina yote ndio kasheshe........Sioi Jeremia Sumary...yaani hamuoi baba yake????
T The Priest JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,029 Reaction score 259 Feb 25, 2012 #4 LMFAO! Jf full vituko!
Mr.mzumbe JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 1,063 Reaction score 1,065 Feb 25, 2012 #5 TUNDU LISSU=uwazi wa lissu au kitobo cha lissu au kijitobo cha lissu ....
Babuu blessed JF-Expert Member Joined Oct 14, 2010 Posts 1,362 Reaction score 491 Feb 25, 2012 #6 Mr.mzumbe said: TUNDU LISSU=uwazi wa lissu au kitobo cha lissu au kijitobo cha lissu .... Click to expand... mizengo kaya pinda,mwezi wakwanza makamba ya katani.nepi.
Mr.mzumbe said: TUNDU LISSU=uwazi wa lissu au kitobo cha lissu au kijitobo cha lissu .... Click to expand... mizengo kaya pinda,mwezi wakwanza makamba ya katani.nepi.
egbert44 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2006 Posts 382 Reaction score 59 Feb 25, 2012 #7 Huyo asiyemuoa babayake anataka kurithi kiti!
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Feb 29, 2012 #8 Amavubi said: Hii tabia ya kuwapa majina watoto bilakufanya tafakuri inaweza kuathiri wengine kisaikolojia Nauliza kuhusu jina la Mgombea kwa iketi ya Gamba A.K.A CCM Arumeru Mashariki anayeitwa SIOI........maana yake nini? Je inawezekana Haoi/hana mke? Click to expand... Huenda neno Soi lina maana katika lugha ya kimeru. Usilitazame kwa kutumia miwani ya kiswahili
Amavubi said: Hii tabia ya kuwapa majina watoto bilakufanya tafakuri inaweza kuathiri wengine kisaikolojia Nauliza kuhusu jina la Mgombea kwa iketi ya Gamba A.K.A CCM Arumeru Mashariki anayeitwa SIOI........maana yake nini? Je inawezekana Haoi/hana mke? Click to expand... Huenda neno Soi lina maana katika lugha ya kimeru. Usilitazame kwa kutumia miwani ya kiswahili
ngulinho JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 405 Reaction score 97 Feb 29, 2012 #9 HYGEIA said: Huenda neno Soi lina maana katika lugha ya kimeru. Usilitazame kwa kutumia miwani ya kiswahili Click to expand... sioi siyo soi
HYGEIA said: Huenda neno Soi lina maana katika lugha ya kimeru. Usilitazame kwa kutumia miwani ya kiswahili Click to expand... sioi siyo soi
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Mar 1, 2012 Thread starter #10 HYGEIA said: Huenda neno Soi lina maana katika lugha ya kimeru. Usilitazame kwa kutumia miwani ya kiswahili[/QUOTE.....kumbe kiswahili kina MIWANI eeeehhh!!! looh, kazi kweli kweli Click to expand...
HYGEIA said: Huenda neno Soi lina maana katika lugha ya kimeru. Usilitazame kwa kutumia miwani ya kiswahili[/QUOTE.....kumbe kiswahili kina MIWANI eeeehhh!!! looh, kazi kweli kweli Click to expand...
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 613 Mar 5, 2012 #11 Amavubi said: Hii tabia ya kuwapa majina watoto bilakufanya tafakuri inaweza kuathiri wengine kisaikolojia Nauliza kuhusu jina la Mgombea kwa iketi ya Gamba A.K.A CCM Arumeru Mashariki anayeitwa SIOI........maana yake nini? Je inawezekana Haoi/hana mke? Click to expand... Ni jina 2 la kikwao n' not swahili, nyepesi nyepesi ni mkwe wa Kapteni ...............
Amavubi said: Hii tabia ya kuwapa majina watoto bilakufanya tafakuri inaweza kuathiri wengine kisaikolojia Nauliza kuhusu jina la Mgombea kwa iketi ya Gamba A.K.A CCM Arumeru Mashariki anayeitwa SIOI........maana yake nini? Je inawezekana Haoi/hana mke? Click to expand... Ni jina 2 la kikwao n' not swahili, nyepesi nyepesi ni mkwe wa Kapteni ...............