Mgombea urais UKAWA


Ukitaka kumkamata mwizi kirahisi mfukuze kimya kimya. Lakini ukianza kupiga kelele atapanic na kuongeza mbio hivyo hutomkamata kamwe
 
Nafikiri ingekuwa vema usubiri mchakato wa ccm upite uone kama mtabaki salama ndipo uhamie kuchambua hali ya ukawa....ccm itapona? Nasubiri kuona
 
kudadeki nakwambia lazima kinuke...yaani iko wazi kabisa wakishatoka huko kwenye mkutano wako ndio siku ambayo UKAWA inafiria kwa mbali...LIPUMBA toka 95 anautaka uraisi alafu leo kiboyaboya tu yule ----- aliekimbia Kanisa aje achukue nchi weeee hawezi kukubali kamwe nakwambia
 
Wewe bwabwa unawashwa au unatafuta bwana??
comments zako za matusi zinaonyesha ambavyo ujakomaa kiakili,,na kisicho niua kinanikomaza akili zaidi.. Na hakika haujui ukawa ni nini kiundani,, mfano mdogo Kama mbowe ameweza kutengua katiba ili aendelee kuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka mingine kumi zaidi je akiwa RAIS ndo atakubali kuachia NCHI ? bila shaka atakuwa nkurunzinza. Kama ameshindwa kuwa mwaminifu katika jambo dogo je ataweza kuwa mwaminifu katka jambo kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…