silver star
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 447
- 119
Nakazia.2300×1,000,000 kama bilion 23 na tatu hivi duh heheheeh
Mi nakupandishia tu uzi maana mtu wa kutoa hiyo pesa hapatikani jf
Labda um inbox mo moja kwa moja
Ni bil 2 na 300m mkuu2300×1,000,000 kama bilion 23 na tatu hivi duh heheheeh
Mi nakupandishia tu uzi maana mtu wa kutoa hiyo pesa hapatikani jf
Labda um inbox mo moja kwa moja
Tupe elimu mkuu!Ambaye hajui Dhahabu ndie atanunu ilo eneo
ENEO LA UCHIMBAJI WA DHAHABU (MGODI) LINAUZWA MKOA WA TANGA
Eneo lipo wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga na lina ukubwa wa Hekari 330.
Eneo lote limepimwa na hekari 165 zina hati ya wizara (Title Deed) na 165 zingine zina Hati ya Kimila.
Utafiti umefanyika na ripoti ya kitaalam inaonyesha kua eneo lote lina dhahabu kwa zaidi ya 85℅
Eneo pia limepewa leseni na shughuli za uchimbaji wa dhahabu zinaendelea ingawa uzalisha upo chini kutokana na ukosefu wa vifaa vya kisasa.
Bei ya eneo lote ni USD-1mil na Maongezi yapo, kwa anayehitaji kuwekeza kwa makubaliano maalum anakaribishwa.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia;-
Call: [emoji1542] +255-766-280-952View attachment 2516931View attachment 2516933View attachment 2516934
Uchimbaji wa dhahabu Kwa Handeni ni mgumu sana Kuna miamba mingi sana

Dhahabu mlenda mlenda maana yake ni nini?Kampuni gani ilifanya utafiti?
Kama eneo lina dhahabu kwanini msichimbe wenyewe? Bank hadi za nje zinatoa mikopo kama una legit report ya eneo husika by a reputable international company. Afu dhahabu ya Tanga mlenda sana
Kwani anayeuza yeye hataki tena hela?ENEO LA UCHIMBAJI WA DHAHABU (MGODI) LINAUZWA MKOA WA TANGA