Hapa nilikuwa nakukumbusha enzi hizo tupo sekondari kuna law fulani hivi ya phys ipo kwenye topic ya Current electricity inazungumza hivyo, so nikaona inashibahiana kwa kiasi kikubwa na swali ulilouliza kwa kuwa jinsia ya kike na kiume ni sawa na opposite charges kwa hiyo lazima zivutane
Hapa nilikuwa nakukumbusha enzi hizo tupo sekondari kuna law fulani hivi ya phys ipo kwenye topic ya Current electricity inazungumza hivyo, so nikaona inashibahiana kwa kiasi kikubwa na swali ulilouliza