Japo mimi sio mwenye nyumba, naamini mwenye nyumba ambaye ni bwana JF, hatajali nikikwambia KARIBU!
Ushauri wangu kwako ni: ya humu yaache humu na usipeleke umbea huko hata kama utakutana na wambea humu. Mji huu una mambo sana. Ikibidi yavumilie, yakikushinda yatue na kuyaacha hapo.
Vile vile, hili ni darasa tosha, jiandae vilivyo!
Karibu tena.