dena na wewe?
bia gani?
dena na wewe?
bia gani?
Ha ha ha bila kunichokoza husikii raha weye ha ha ha mie nakunywa Fanta Pine Apple tuuuuuuuuu muulize Fidel80 anajua
Dena hawezi kunywa bia anakunywa soda
Mi nilisha jiandaa kuweka stock ya bia home
fidel ndie?????
Umeanza mambo yako sio?????
<br />nataka kukupa offer ya bia<br />
unaniambia nimuulize fidel<br />
so fidel ndo nani wako?