wakulichomeka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 517 Reaction score 142 Mar 18, 2015 #1 Tokea juzi kuna sehemu kukiwa na umeme sehemu nyingine haupo, najiuliza kuna mgao wa kimya kimya au? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Tokea juzi kuna sehemu kukiwa na umeme sehemu nyingine haupo, najiuliza kuna mgao wa kimya kimya au? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Mar 18, 2015 #2 Jiongezeeee tu mkuu... Muongoo si wamemtimua Sasa Hv Tanesco ipo ipo tu.. hiii nchi bhna
precious E Member Joined Apr 27, 2013 Posts 22 Reaction score 1 Mar 18, 2015 #3 Duh hata me unaniboa unakatika had kero hasa huku Nyakato
J Julius Malema Jr JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 653 Reaction score 155 Mar 18, 2015 #4 precious E said: Duh hata me unaniboa unakatika had kero hasa huku Nyakato Click to expand... Muulize Mkono....Mengi. ..Mbowe. ...na zitto cz kafulila alitumwa tu na hao vbaraka wake
precious E said: Duh hata me unaniboa unakatika had kero hasa huku Nyakato Click to expand... Muulize Mkono....Mengi. ..Mbowe. ...na zitto cz kafulila alitumwa tu na hao vbaraka wake
wakulichomeka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 517 Reaction score 142 Mar 19, 2015 Thread starter #5 Hii nchi inamaigizo sana kwann waweke mgao bila kutangaza imekua nchi ya wahuni hatuna viongozi bali tuna vibaka Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hii nchi inamaigizo sana kwann waweke mgao bila kutangaza imekua nchi ya wahuni hatuna viongozi bali tuna vibaka Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums