Mkuu kama nimekuelewa vizuri, kwanza nikupongeze una idea nzuri sana, kwa nchi kama za kwetu tegemea kupata changamoto ya kutoka kwenye mamlaka za serikali, hivyo kama idea yako itakuwa hivyo ilivyo ni bora ujisalimishe soko la hisa na mamlaka zingine ili usajiliwe kwanza.
Lakini pia kwa ushauri unaweza kuboresha wazo lako liwe kama kiungo
Mfano, unapomkutanisha A (Business owner) na B (mwekezaji) una hakikisha vipi kila mtu mwisho wa hiyo biashara kila mtu anabaki na tabasamu??