Hiyo article ya pili ina detail nzuri na inaweza kumpa mwanga hata mtu mwenye ujuzi mdogo lakini anayependa kujua technical information. Kwa kutumia article hiyo mtu yeyote anweza kujua laptop yake ina shida gani specifically au ujumbe wa tatizo unaotokea kwenye screen una maanisha nini.
So kwa kuelewa mfumo huu utjuta hasa kama tatizo ni OS au ni Hardware. Na ukiua tatizo nilipi basi utajua hatua sahihi za kufikia suluisho bila kupoteza muda mwingi au itakuepusha kutimia trial and errors approach.