Mfanyakazi wa ndani Anahitajika

mbujike

Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
41
Reaction score
13
Natafuta mfanyakazi wa ndani awe na umri usizidi miaka 23, na asiwe ana mtoto, awe tayari kukaa nyumbani, mahali pa kazi ni IRINGA mjini, mshahara ni 40,000, mwenye mtu ani PM
 
Kama uko tayari kutoa 250000 sema nikutumie mtu mana kazi zenu huwaga ni nyingi kuliko package mnayotoa
 
-Umri usizidi miaka 23
-Asiwe ana mtoto
-Awe tayari kuishi nyumbani muda wote
-mshahara 40000
- mahali pa kazi Iringa mjini

kama yupo aniyemfahamu ani PM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…