Thewildlife_tz
Senior Member
- Apr 23, 2019
- 127
- 85
Mkojo wake ukiingia machoni unaweza kuwa kipofu
Ukikuingia unapaswa kufanya niniMkojo wake ukiingia machoni unaweza kuwa kipofu
Sawa sawa shukraniiMkuu jitahidi nyuzi zako uambatanishe na picha kunogesha nyuzi zako
Mkuu hiyo ultra sound inaweza kupasua chochote.... means inatoboa ukuta?
Ina maana gani hiyo u SoundHapana mkuu hazewzi pasua ukuta