Mbona wafanyabiashara wa humu hamna mawazo ya maendeleo?Fungukeni kimawazo na ni bora utuelezee gharama zenu za hivo viti na meza ili kesho na sisi tukiwa tunahitaji iwe rahisi kuvipata na si tuangaike na PM.
Achaneni na mambo ya PM.Tufaidisheni na sisi wengine