dau la kumkamata ni almost $4m lakini jamaa,unadhani mpango mzima wa kumtoa,kuanzia kukununua kiwanja karibu na gereza,kujenga tunnel into the jail,kuhonga maaafisa nk utakuwa umegharimu sh ngapi?halafu jitu lenyewe lina utajiri $1bn
Nadhani huku ndiko role model ya polisi Wa tz inakopatikania.
Rushwa katika ubora wake.
Kutoroka kwake gerezani kumemgharimu £32m.