Breaking bad JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,464 Reaction score 3,497 Jun 7, 2023 #1 BBC wanaripoti kuwa Messi amekubali kujiunga na timu ya Inter Miami ya ligi ya Marekani (MLS) na kuikacha offer kubwa zaidi kutoka Al Hilal ya Saudi Arabia. Makubaliano yaliyofikiwa yatahusisha ushirikiano katika brand kama Adidas na Apple.
BBC wanaripoti kuwa Messi amekubali kujiunga na timu ya Inter Miami ya ligi ya Marekani (MLS) na kuikacha offer kubwa zaidi kutoka Al Hilal ya Saudi Arabia. Makubaliano yaliyofikiwa yatahusisha ushirikiano katika brand kama Adidas na Apple.
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,644 Jun 7, 2023 #2 Wise choice