Messi kishaanza Mauaji

Huku Tabora kote hamna Megawatt ....loh!
 
mpira umekwisha barca 3-1,najua wapenzi wa chelsea mioyo inawadunda,endapo kesho mtashinda barca hao...patakuwa hapatoshi.MPIRA UNADUNDA LAKINI C KWENYE MATOPE.
 
amini usiamini ac milan ni bonge la timu kwani bila ya penati za utata walikuwa wameshatoka kweli milan ni noma mpaka hapa asernal ni kali uwanja wanyumbani kuliko barca..
 
amini usiamini ac milan ni bonge la timu kwani bila ya penati za utata walikuwa wameshatoka kweli milan ni noma mpaka hapa asernal ni kali uwanja wanyumbani kuliko barca..

at this rate there might come a day when even
talking to a barca player in the penalty box will see
them awarded a penalty...Its Me Gang Chomba
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…