mi nadhani ni system ya uchezaji kwa timu ya Barca ndio inamfanya mesi an'gae hivyo, huwa mnaona jinsi anavyofichwa akiwa timu ya taifa....so ni mzuri kiukweli ila kuna mazingira ndio yanamfanya aonekane ni mzuri kuliko kawaida.
messi amecheza professional football kwa miaka 8 tu while maradona kacheza miaka 22, lakini statistics zinaonyesha kuwa messi anaweza kupita record ya maradona ndani ya miaka 4 ijayo!
Hata Xavi naye huwa anachezeshwa na Messi na ndo maana Messi ana goal assists nyingi kuliko Xavi. Hata akicheza katika kikosi ambacho XavIniesta hajaanza huwa anafanya mambo pia, so mkubali tu hutapungukiwa na kitu chochote.