Barcelona ikiwa uwanjani muda huu kucheza na Cordoba katika mchuano wa Copa del Rey,tayari Lionel Messi ameshafunga goli lake la 87 mwaka huu. Ni bao la dakika ya 11 ya mchezo.Mchezo huo uko mapumziko.More to come
wajua messi ni nouma, ataweka record ambayo itachkua mda mrefu sana kuvunjwa, lakini nasikia zambia wameidhiaki iyo record na kudai kuna njemba uko zambia ilipiga bao 108
wajua messi ni nouma, ataweka record ambayo itachkua mda mrefu sana kuvunjwa, lakini nasikia zambia wameidhiaki iyo record na kudai kuna njemba uko zambia ilipiga bao 108
ebu tizama hata viwango vya soka na ligi husika we ulinganishe La liga BBV na zambian PL? hata league za uscotch,holland,croatia,romania etc Ukifunga magoli 2 ndo sawa na goli moja la Epl,La liga,Bundesliga,Seria A Sasa jiulize ligi za ulaya kama za Belgium zenye clubs kama Andeletch,Genk,Club Blugge wanahesabiwa 2 goal to One kwa wepesi nadhani huko Zambia itakuwa 10 goals for 1 of Most difficult soccer leagues