Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Hajaivunja ila kaifikia
Yake haitakaa sana CR7ataibomoa
Cr7 kacheza mechi 106 kashindwa kufikia, messi mechi 90 tu na akiwa na miaka 27
Cr7 kacheza mechi 106 kashindwa kufikia, messi mechi 90 tu na akiwa na miaka 27
kwel messi bwana marecord..hahaMabao yake mawili aliyoyafunga leo dhidi ya Ajax kwenye UCL yamemfanya Messi aifikie rekodi ya mabao kwenye UCL ya Raul Gonzalez. Christiano Ronaldo alishindwa kufanya hivyo juzi na kubaki na mabao yake 70. Messi aka Andunje amefikisha mabao 71
Huyo ndiye Lionel Messi...Bwana Marekodi
Yake haitakaa sana CR7ataibomoa
Mabao yake mawili aliyoyafunga leo dhidi ya Ajax kwenye UCL yamemfanya Messi aifikie rekodi ya mabao kwenye UCL ya Raul Gonzalez. Christiano Ronaldo alishindwa kufanya hivyo juzi na kubaki na mabao yake 70. Messi aka Andunje amefikisha mabao 71
Huyo ndiye Lionel Messi...Bwana Marekodi
CR7 kashindwa tayari! Mechi alizocheza ni nyingi zaidi kwa mechi zaid ya 16 na bado Lion( Lionel) Messi(Messiah)
Ronaldo hamuwezi Messi
Hajaivunja ila kaifikia
Kizazi hiki tuna bahati sana kumshuhudia Messi na pia Ronaldo. Hawa watu itachukua muda sana kuja kutokea sana. Na bado wanapasia kamba kama ndo wanaanza. Watafika hata goli mia maana umri wao unaruhusu bado. Nina uhakika Ronaldo mechi mbili zijazo anaenda ivunja naye.