VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,140 Reaction score 18,007 Dec 10, 2012 #1 Jana Barcelona ilicheza mechi yake ya 15 Ugenini kwa Real Betis.Akiwa na miaka 25,alivunja rekodi mbili dakika ya 25 alipofunga bao lake la pili kwa Barcelona.Amefikisha mabao 23La Liga msimu huu.Ni nambari 25 25 kwenda mbele
Jana Barcelona ilicheza mechi yake ya 15 Ugenini kwa Real Betis.Akiwa na miaka 25,alivunja rekodi mbili dakika ya 25 alipofunga bao lake la pili kwa Barcelona.Amefikisha mabao 23La Liga msimu huu.Ni nambari 25 25 kwenda mbele