Kwa ka uelewa niliko nako ka IT,mwenzangu huyu si mjanja kwenye simu au computer. Nilickeck nikaikuta email na simu nikabadilisha password ya email na ya facebook,na kikubali option ya kulog out kwenye devices nyingine.Sasa leo zaidi ya mara tano ndo nikaona messages zinaingia kwake kwamba password imekuwa reset. Nikajaribu kulog in kutumia password niliyoweka mimi,ikakubali,lakini nikakuta mda huo messages zinatumwa. Nikadelete hiyo account, baada ya mda nikarejea tena nikakuta imetengenezwa nyingine inamuomba urafiki.Kwa maelezo yake huyu mtu anayemhisi waliwahi kuwa na uhusiano(hii tu ni clearance ipo nje ya mada).
Sasa nilipo check ile account nyingine,imewekwa picha yake,na watu wameanza kulike,na wasiwasi ni kwamba anapoandika inaonekana wanajibizana,na kiukweli nisingekuwepo mwenyewe ningehisi ananidanganya na angechezea kichapo bila kosa. Sasa nachohitaji,ni njia gani ya kutrack location ya anayefanya hivyo(katumia phone,computer? Na amefanya hivyo akiwa wapi) ndo hicho nachoulizia