unajua ukishaamua kuchepuka epuka vimaneno vya kukela upande mwingine mbona utafurahi huyo kakosea kumponda mmoja wapo ndio shida ilipo anajifunza kuchepukaBalaa hutokea pale unapojisahau kidogo tu...Hata nukta zikiunganishwa kwa umakini huleta tafsiri iliyo sahihi..
Lazima usikie baridi mpaka kwenye ubongo hapo...Nilishakuwaga na dili moja la pesa na anko wangu....sasa kipindi nataka nimtumie mesej anko kumuambia kwamba huyo jamaa tunataka kumpiga hela kashtuka ile mesej nkaituma kwa jamaa tunaetaka kumpiga hela....mesej niliandika hivi...."hoya anko huyu jamaa naona kama kashtukia"....jamaa hakunitafuta tena na dili ikaisha
Noma sana.....pesa ilipotea kwa single mistakeLazima usikie baridi mpaka kwenye ubongo hapo...
Mkuu, noma sana!Wewe ndo ulitisha sana msg ilikuwa inasemaje?
Huyo ndo ile asilimia moja iliyobaki [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Halafu kuna watu bado wanadai eti wanawake huwa hawachepuki.....
Ila sifa mojawapo ya michepuko ni vimeseji fulani hivi vya kumfanya mlengwa kujiona yeye ndo yeye ili huduma iboreshwe zaidi na zaidi..unajua ukishaamua kuchepuka epuka vimaneno vya kukela upande mwingine mbona utafurahi huyo kakosea kumponda mmoja wapo ndio shida ilipo anajifunza kuchepuka
Wengi hufanya hivyo kama njia ya kumuadaa mlengwa kumuonyesha kwamba yeye ndiyo yeye na jamaa akishapewa kichwa na kikavimba hakika hawazi tena kuongeza tarakimu kwenye ATM kwa ajili ya mchepuko..Na trick hii imethibitishwa inafanya kazi mno watu (ME) tunapendaga kusifiwa sana..Huwa tunajisahau sana jamani, umeshachepuka inatosha habari za kuanza kumponda mumeo au mkeo kwa mchepuko huo ni udhalilishaji na kukosa maadili, huoni hata huruma jamani umeshamsaliti halafu bado unamponda tena, yaani hata huo mchepuko unakuona wa ajabu sema tu anashindwa kukuambia
Mama aligoma akisema alimtumia Mume wake kwa makusudi tu alikuwa anataka kumpima...Sasa mama akisema hivyo jamaa anakuwa kichaa kabisa anasema tuko na miaka 10 na kitu kwenye ndoa hujawahi kunifanyia utani wa namna hii iweje uanze leo...Mume anakomaa na wife aseme ukweli huyo mwanaume ni nani...Ina mrejesho..!?
Ni vyema itumike baadhi ya wanawake huwa waaminifu na si wote vivyo hivyo na kwa wanaume pia..
Mama aligoma akisema alimtumia Mume wake kwa makusudi tu alikuwa anataka kumpima...Sasa mama akisema hivyo jamaa anakuwa kichaa kabisa anasema tuko na miaka 10 na kitu kwenye ndoa hujawahi kunifanyia utani wa namna hii iweje uanze leo...Mume anakomaa na wife aseme ukweli huyo mwanaume ni nani...
Ila ishu hii mimi imenitokea liivvveee.... Nilikua nasafiri kwenda kwa wife... Nikaandika msg ya kumuaga mchepuko ..... Hakyananii nikaituma huko nnakoenda... Nyeeee.. Acheni tu .Ni fulu balaa...