[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo ni moja tuuu!....huna chura!![emoji20][emoji20][emoji20]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] juu ya wapi jamanii!! Nisijesema huna kumbe unayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti uko na nn mashavu ya juu
Uliwekwa kidogo tu achana na kanye westHapana ba mkwe sio mm kabisa halafu yule kwa dp ni kanye west kaangalie vizuri
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hongerenii
HahahaAlafu shunie acha kuniharibia ujue Sakayo akinikataa nalala na wewe mbele
Ahsante sanaMambo ya Mubashara Penzini... live bila chenga... Haya hongereni kwa kupendana kwa dhati...!!!
My swi huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuu zako shenzy unakera sana rafiki
HahahaNimeelewa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KhaaaaMmmh
Bado wwWatu na mapenzi yao.
Aisee kwa maneno haya nafikiri huyo moneytalk atakua ashatupa chupi [emoji160] [emoji160] [emoji160] mbali sana anaona kama inambana mda huuNi furaha iliyojaa moyoni mwangu, kila nikifikiria namna nilivyokupata kwani sikutarajia kama ndoto yangu ya kupata mwanamke anayenipenda kama wewe.
Upendo wangu kwako @monenytalk hauna kifani, laiti ningekuwa na uwezo nifunue kifua changu uone jinsi gani moyo wangu ulivyo na furaha na upendo juu yako ila hilo haliwezekani isipokuwa maneno na matendo yangu kwako yatadhihirisha hilo.
Nimekupenda, ninakupenda, nitaendelea kukupenda daima kwani nikiangalia mashariki na magaharibi, kaskazini na kusini sioni mwenye upendo kama wewe.
Wewe ni lulu kwangu mwenye thamani kubwa moyoni mwangu, nakutunza moyoni mwangu uketi upate furaha, faraja na upendo.
I LOVE YOU moneytalk
Sina mkanda wowote mieHebu nipe mkanda mzima, naona chenga tuu
Wwwoooooozzzzeeeerrrrr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upendo wa dhati ndio mpango mzima mkuu
Weeeeh unaanzaje kulala na mm siko single mieAlafu shunie acha kuniharibia ujue Sakayo akinikataa nalala na wewe mbele
Hanging...love is on the air