Message inayo hatarisha mahusiano yangu

Pole mkuu kama hataki kukuelewa nawe pumzika Fanya mambo yako atajifikiria then atakuomba msamaha!


Asante, kwa ushauri , utadhani kama ulikuwa kwenye mawazo yangu!
 
haki ya Mungu wakati nasoma nkajua mwenye thread hii ni mwanamke!! nkawa najiulza sasa kashapigiwa kakutwa dada!! kuna mzozo gan tena?? mweh! umekosea, alivyokasirika ungemuhamishia kijiji beach! hasira zote zingemwisha....

Ha! ha! haaa! Haya bwana.
 

Lakin Asante kwa ku- criticise, i take it as a challenge,

nimependa hicho kipande cha mwisho
 
Km umeumia sana na unadhani bila yeye maisha yako hayana thamani tena,me nakushauri bora UJIUE! Lkn km unafikiri vizuri na ukweli unaujua kwamba jambo hilo si la kweli,wala huhitaji kuwaza sana,kubali kilichotokea na kubali uamuzi wake kukutolea yy nje siyo mwisho wa maisha yako. Kwani ungesikia amekufa na wewe ungekufa!??
 

Asante sana umenisaidia sana kuwaelimisha,

Nadhan watu tuna akili tofauti ndio maana hata kwenye darasa moja atakuwepo mtu wa kwanza mpaka wa mwisho,

Nadhani hao wanao comments hivyo huo ndio upeo wao wa kufikiri ulipoishia, tusiwa laumu sana.
 

Asante kwa ushauri, nimekusoma
 
Ndugu we mbembeleze akikataa tulia kwenu wala usiangaike , hakuna mwanamke anayemuaxha mtu wake kisa SMS, watu wanafumania na wanaendelea itakuwa hiyo SMS, wewe mbembeleze coz ni haki yake lakin usiumie atarud mwenyewe labda kama alikuwa anatafuta gea ya kukuacha
 
Hivi haya matumizi ya "X" badala ya "S" yanawasaidia nini?

Hahahaaaaa nlijua ni pekeangu ndio sipendi ayo matumiz ya s kua x........mkuu Nmeweka lakin ditumiagi nmeona mleta maada nikimuandikia kawaida hataelewa
 

Hawa hawaonajifanya wana level za juu wako wengi siku hiz hapa jf, achana nao Fanya yako
 
Daaah masuala haya mi siwezagi kabisa kushauri...
 
Hahahaaaaa nlijua ni pekeangu ndio sipendi ayo matumiz ya s kua x........mkuu Nmeweka lakin ditumiagi nmeona mleta maada nikimuandikia kawaida hataelewa

Kawaida kwanini nisielewe mkuu,

Mara nyingi matumizi ya herufi hizo hutumiwa na form two au ordinary level, wenyewe wanaita swagga. Hasa big results now,

Sasa kwa level yangu ya chuo kuniandikia hivyo nikama kunitusi mkuu, ndio maana ile comment yako niliipotezea tu.
 
sielewagi mnatoka wapi kuzoea simu ya mpenzio unaanzaje haya ni mazoea ya kijinga sana nayapinga kabisa.... kuweni na mipaka hivi ni vifaa lolote laweza tokea hata mpenzio wa zamani anaweza kukumbuka ikatleta balaa nani atayekubali ni siku hiyo kakukumbuka.. acheni kujidnganya kuwaachia wapenzi wenu simu free ndiyo dawa ya kuuwa mzizi wa fitina .... muhimu muwe na mipaka yeye anasimu yake achezee yake .. unashika simu yangu kuna kitu umesahahu hapo au unadhani mimi sitafutwi? omba kama unahitaji nikutafutie lazima tuwe na mipaka nasisitiza...
 

Ushauri mzuri sana huu,

Wenzio tunafanya hivyo kujenga kuaminiana, maana ukimzuia pia asiishike atakuwa na mashaka na wewe,

Lakin ushauri wako mzuri sana, kuondoa sintofahamu yoyote ni vyema kuepuka mambo kama haya!
 
Ushauri mzuri sana huu,

Wenzio tunafanya hivyo kujenga kuaminiana, maana ukimzuia pia asiishike atakuwa na mashaka na wewe,

Lakin ushauri wako mzuri sana, kuondoa sintofahamu yoyote ni vyema kuepuka mambo kama haya!

Tunajidanganya kuwa nikimwachia ndiyo safi ila mwisho wa siku ni majanga ..
 

Hahahaaaaaaa aya bana nila mi nlikua natania tu uxichukie bax enhee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…