Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 317
- Thread starter
-
- #61
View attachment 28375
Frantz Fanon July 20, 1925 – December 6, 1961
I don't think Frantz Fanon who wrote, among others, 'The Wretched of the Earth' and 'Black Skins White Masks', would have supported dictator Moammer Gaddafi!
Nyie wote mnaompigia debe Gaddafi mmechelewa, treni limeshapita!
"Each generation must, out of relative obscurity, discover its mission, fulfill it, or betray it."
- Frantz Fanon
Jamaa wa Benghazi hilo wamelijua!
Uko sahihi Abdulhalm, kuwapa wananchi vitu bure, ambovyo actually siyo vyake yeye kama anavyotaka tuamini hivyo, wakati huku akifanya familia yake ndiyo watawala wa nchi ya Libya ni kosa lake kubwa sana. Kuwanyima watu uhuru wa kuongea, kuwaita wenye mawazo tofauti na yeye kuwa ni vibaraka wa nchi za ulaya na USA, kuwatusi kwa kila aina ya matusi anayo yajua siyo halali yake.
Kumpindua mfalme wa nchi hiyo na yeye kutaka kuongoza kama mfale mpaka afe na kumkabidhi mmoja wa watoto wake uongozi wa nchi ni dharau kwa wananchi wengine wote wa Libya. Alikwa na opportunity kwa miaka kadhaa ya kubadirisha style ya uongozi wake kutoka huu wa kiimla na kuleta uongozi shirikishi/kidemokrasia lakini ameeishia kulewa madaraka na kujiita The King of Kings.
Awe tayari kuvuna aliyopanda
Mkuu nitakuelewa vizuri kama utaandika kwa lugha yetu ya kiswahili. Frantz Fanon alizaliwa Martinique na siyo Guyana. Aliyezaliwa Guyana alikuwa Walter Rodney aliyeandika 'How Europe Underdeveloped Africa (1972). Hapa nadhani unachanganya karata!Frantz Fanon, the ever know Marxist believer and opponent of racism against black people, i don't think he should surpported the opposite.
I don't think the inversion of empirialist to Libya via US and NATO would had empressed him, unless not the one ever know French Guyanna marxist.
Uko sahihi Abdulhalm, kuwapa wananchi vitu bure, ambovyo actually siyo vyake yeye kama anavyotaka tuamini hivyo, wakati huku akifanya familia yake ndiyo watawala wa nchi ya Libya ni kosa lake kubwa sana. Kuwanyima watu uhuru wa kuongea, kuwaita wenye mawazo tofauti na yeye kuwa ni vibaraka wa nchi za ulaya na USA, kuwatusi kwa kila aina ya matusi anayo yajua siyo halali yake.
Kumpindua mfalme wa nchi hiyo na yeye kutaka kuongoza kama mfale mpaka afe na kumkabidhi mmoja wa watoto wake uongozi wa nchi ni dharau kwa wananchi wengine wote wa Libya. Alikwa na opportunity kwa miaka kadhaa ya kubadirisha style ya uongozi wake kutoka huu wa kiimla na kuleta uongozi shirikishi/kidemokrasia lakini ameeishia kulewa madaraka na kujiita The King of Kings.
Awe tayari kuvuna aliyopanda
Kama umejifunza hivi kidini basi naomba urudi tena darasani. Allah hajasema kila uombalo (hata kama ni uzinzi, utapeli, ubakaji na uuaji) utapewa. Allah atakuonyesha kupitia kwa Ghadhafi. Na hili litakuwa fundisho kwa watu wote wanaotaka kutania jina la Allah!...ikiwa kweli Ghadhafi katanguliza jina la Allah katika malalamiko yake, yeye na sera zake ataibuka mshindi...
Hawa jamaa wanaojiita coalition walipokuja Libya wamekurupuka sasa mambo yanawaendea vibaya.Ghadhafi hana dalili ya kutaka kukimbia kama wanavyompakazia.Kukicha anabuni mbinu mpya za kivita na ana wapiganaji wakali kama nyuki.Marekani na washirika wake pamoja na kwamba hawana staha na maazimio ya UN,pale ni jukwaa tu la kutafutia visingizio.Ukweli ni kwamba ukiondoa mabomu ya kutoka angani hawana askari wa kuteremka ardhini kupigana Libya,wakati mwenzao anatumia teknolojia za kisasa na mbinu za kijadi kupigana.Tuone!.Nimesoma mawazo ya wengi kwenye thread hii,nabaki katikati.
Binafsi siwezi kuwa-support westerners (hasa Wamarekani) kwa kuwa lengo la kumtoa Gaddafi ni sahihi kwa some extent lakini means wanazotumia za kutumia military approach siyo sahihi.
Pili,nakubali kweli Gaddafi ameisaidia nchi yake kama mwananchi yeyote anavyopaswa kutoa mchango kwa nchi yake.Nampongeza kwa kutimiza wajibu wake
Nakataa anaposema amewapa wananchi nyumba,huduma za afya na vitu vingine bure,hapana hakuwapa na wala hakuna mtu anayeweza kuwapa wananchi vitu kama hivyo bure kama source ni income kutoka kwenye nchi yao,ni vyao!
Lakini unaposoma speech yake ndani kuna maneno ambayo kweli yana-touch,yanaumiza na kutia huruma kama binadamu.Lakini,nayafananisha na ndoano ambayo huwa imezungukwa na chambo kinachoonekana kizuri ila dhamira ya ndoano ni mbaya tu siku zote..Amejinasibu na dini anapozungumzia suala la Libya kama Nchi,wajiweke wapi Walibya ambao siyo dini yake??Haiwezi kuingia akilini mtu anapong'ang'ania kukaa madarakani zaidi ya miaka 40,aliitoa nchi toka sehemu moja akaifikisha sehemu nyingine nzuri-kwa nini ang'ang'anie kuendelea kuwa madarakani?Lakini anapofanya mapato ya Nchi yatumike kwa manufaa ya familia yake si haki kwa Walibya hata kama kuna vitu wanapata bure toka serikalini,tendo zuri haliwezi kulifanya tendo baya lisionekane kwa ubaya wake!!
Kama Waafrika tuna vingi vinavyotugawa na kamwe hatuwezi kuwa na umoja lakini kubwa kuliko yote ni Dini ambazo tumerithi toka kwa wageni-wenye asili ya dini hizo wamezitumia kwa maslahi yao binafsi wakikaa juu ya migongo ya dini hizo,nasi tumekubali kumeza hadaa hiyo!
.
where is AU????
too low na hayo ni mawazo yako bro!kosa kubwa alilofanya ni kujiita KING OF KINGS! huwez chukua nafas ya Mungu kisa unawapa wa2 vi2 bure, atubu kwanza na kujinyenyekesha
you have said it,i dont know where is f@%%ki%^ng democracy are we talking about here in Africa and there s no pure democracy in this worlid.i know they will catch him and even kill him but one day the black continent will rise against these mother f@#$%cKe$$s white peopleThe AU is a hypocricy thing governing African foreign, there is no such a thing as the union of countries in Africa, we are not working, organizing ourselves and speak as one. each country is going it's own way which is being perpetuated by the Capitalist nations which in reality dominates the African economy and foreign policy. But rest of Africa is asleep! until we wake up, Colonialism is still here to stay!
Viongozi kama Gadafi ndio tunawahitaji Africa. Ni bora kuwa na viongozi dikteta kama Gadaffi lakini wanaokuza uchumi wa nchi zao (kwa lengo la kuondoa utegemezi na kuendeshwa na mabepari) Kuliko viongozi laini laini kama KIKWETE wanaojipendekeza pendekeza ulaya kuomba misaada na Hatimaye tunashindwa kusema wala kufanya chochote Afrika inapovamiwa!
Nimesoma mawazo ya wengi kwenye thread hii,nabaki katikati.
Binafsi siwezi kuwa-support westerners (hasa Wamarekani) kwa kuwa lengo la kumtoa Gaddafi ni sahihi kwa some extent lakini means wanazotumia za kutumia military approach siyo sahihi.
Pili,nakubali kweli Gaddafi ameisaidia nchi yake kama mwananchi yeyote anavyopaswa kutoa mchango kwa nchi yake.Nampongeza kwa kutimiza wajibu wake
Nakataa anaposema amewapa wananchi nyumba,huduma za afya na vitu vingine bure,hapana hakuwapa na wala hakuna mtu anayeweza kuwapa wananchi vitu kama hivyo bure kama source ni income kutoka kwenye nchi yao,ni vyao!
Lakini unaposoma speech yake ndani kuna maneno ambayo kweli yana-touch,yanaumiza na kutia huruma kama binadamu.Lakini,nayafananisha na ndoano ambayo huwa imezungukwa na chambo kinachoonekana kizuri ila dhamira ya ndoano ni mbaya tu siku zote..Amejinasibu na dini anapozungumzia suala la Libya kama Nchi,wajiweke wapi Walibya ambao siyo dini yake??Haiwezi kuingia akilini mtu anapong'ang'ania kukaa madarakani zaidi ya miaka 40,aliitoa nchi toka sehemu moja akaifikisha sehemu nyingine nzuri-kwa nini ang'ang'anie kuendelea kuwa madarakani?Lakini anapofanya mapato ya Nchi yatumike kwa manufaa ya familia yake si haki kwa Walibya hata kama kuna vitu wanapata bure toka serikalini,tendo zuri haliwezi kulifanya tendo baya lisionekane kwa ubaya wake!!
Kama Waafrika tuna vingi vinavyotugawa na kamwe hatuwezi kuwa na umoja lakini kubwa kuliko yote ni Dini ambazo tumerithi toka kwa wageni-wenye asili ya dini hizo wamezitumia kwa maslahi yao binafsi wakikaa juu ya migongo ya dini hizo,nasi tumekubali kumeza hadaa hiyo!
.
nakuhakikishia hataibuka mshindi-na asipofanya usitaarabu watamuua. Ikiwa kweli ghadhafi katanguliza jina la allah katika malalamiko yake, yeye na sera zake ataibuka mshindi hata maadui pamoja na waliopo jf wakichukia.
Africa inahitaji watu aina ya Ghadaff sana SANA SANA...huyu ni kamanda wa ukweli na hana chembe ya uoga sio mnafiki kama most of African Rulers...amefanya mambo mengi kwa Libya na Africa anapigania AU hilo linaitisha US haitaki kuona Africa moja iliyoungana na yenye nguvu lazima yamshambulie mahuni haya majizi.....na bado kuna mtu anasema wazungu wana faa SHAME ON U...nawashangaa sana mnaoibiwa madini hapa na mko kimya mnasifia ujinga....hata hapa mgeibana Barrick mngeona cha moto...wao wanataka maslahi mambwa haya mazungu I HATE U EUROPE N AMERICA DEEATH TO U DOGGY......
Hata mimi pia nina mawazo kama ya kwako,ndio maana nikatanguliza.... ikiwa kweli. Kwa sababu huko nyuma aliwahi kuwashutumu Alqaida kama kwamba ni watu wabaya kwa uamuzi wao wa kupambana na maadui ambao sasa wamemgeukia yeye mwenyewe.Kama umejifunza hivi kidini basi naomba urudi tena darasani. Allah hajasema kila uombalo (hata kama ni uzinzi, utapeli, ubakaji na uuaji) utapewa. Allah atakuonyesha kupitia kwa Ghadhafi. Na hili litakuwa fundisho kwa watu wote wanaotaka kutania jina la Allah!
Hii kumuua ndio lengo la tangu awali,vyengine ilikuwa visingizio tu.Walifanya hivyo kwa Saddam na haikuwa kwamba Saddam alikuwa mkosa bali alikuwa mtu hatari kwa maslahi yao.nakuhakikishia hataibuka mshindi-na asipofanya usitaarabu watamuua
Huyo Gaddafi unayemtetea ameua wananchi na wanajeshi wake. Kwa hiyo unafikiri Allah au hata Mtume Muhammed S.A.W atamlinda kwa hilo? Ni nani unaetaka kumpotosha?Siamini kwamba Allah atanionesha mimi peke yangu kupitia Ghadhafi.Naamini wewe utaona na wana JF wote.Hii ni kwa vile Allaha hawezi kumpa nguvu aliye dhalimu zaidi dhidi yake kuliko yule amkumbukaye angalau kwa kidogo.Hawezi kumpa nguvu anayeuwa wananchi na wanajeshi dhidi ya yule anayewapatia mahitaji yao