kamati yamaamuzi magumuu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 227
- 263
"Only Legendary" au "Only Legends"?? Msipende kutumia lugha msiyoiweza!Only lengendary understand this seasons
Ipi ilikukoshaa na hasa tukio gani huwezi lisahau
Changia tuone picha itabaki kuwa ni dhahabu
Only Lengendary wanazielewa hizo pichaa
NaanZa GOT John snow alipomuua Queen of tygalians the qouncer of marine....and queen of dorthlaqies
Uje Last nakubaliii saana nyenendo za son of Taxess,,,pia namkubali aliekuwa anautwa Sarah tinqued mke wa stalling wa prison break kwenye hiyo lash ship
Only Lengendary wanazielewa na wanaweza elezea wapi wamevutiwa nazo
kamati ya maamuzi magumu
Ni series nzuri lakini kwangu naona ni ya kawaida sana. Haikutumika akili sana mule.Mshindi La casa de papel
Akili imetumika wapi?prison break?Ni series nzuri lakini kwangu naona ni ya kawaida sana. Haikutumika akili sana mule.
Unaichukua GAME OF THRONES unailinganisha na series za vichochoroni halafu unajiita LEGEND!..
Ushazisikia DR. WHO, MCGYVER au WEST WING!?..
Only lengendary understand this seasons
Ipi ilikukoshaa na hasa tukio gani huwezi lisahau.
Changia tuone picha itabaki kuwa ni dhahabu.
Only Lengendary wanazielewa hizo picha
Naanza GOT John Snow alipomuua Queen of Tygalians the qouncer of Marine and Queen of Dorthlaqies.
Uje Last nakubaliii sana nyenendo za son of Taxess, pia namkubali aliekuwa anaitwa Sarah Tinqued mke wa starring wa prison break kwenye hiyo Last Ship.
Only Lengendary wanazielewa na wanaweza elezea wapi wamevutiwa nazo.
kamati ya maamuzi magumu
Aisee hakunaga kama GOT ni habari nyingine ile. The story of the 7 kingdoms yani ile ilikuwa na habari nyingine.Only lengendary understand this seasons
Ipi ilikukoshaa na hasa tukio gani huwezi lisahau.
Changia tuone picha itabaki kuwa ni dhahabu.
Only Lengendary wanazielewa hizo picha
Naanza GOT John Snow alipomuua Queen of Tygalians the qouncer of Marine and Queen of Dorthlaqies.
Uje Last nakubaliii sana nyenendo za son of Taxess, pia namkubali aliekuwa anaitwa Sarah Tinqued mke wa starring wa prison break kwenye hiyo Last Ship.
Only Lengendary wanazielewa na wanaweza elezea wapi wamevutiwa nazo.
kamati ya maamuzi magumu
Kaka unazungumzia Last Ship ipi ambayo yupo Sarah Tancredy wa Prison Break?
Vikings.
Aisee hakunaga kama GOT ni habari nyingine ile. The story of the 7 kingdoms yani ile ilikuwa na habari nyingine.
Kwasasa niko na power dah Ila imeniuma Ghost kufariki tena kwa kushhotiwa na mwanae.
Nyingine ilikuwa into the badlands lakini iliisha kibwege.
Series nyingine niliyowahi kuielewa ni Spartacus
hizo ni takataka ongeza na THE [emoji817]
Zote hizo katuni ushaiona Westworld??