cacutee JF-Expert Member Joined Apr 9, 2024 Posts 1,679 Reaction score 4,271 May 24, 2024 #6,781 Kigi Makasi said: Nimefanya nn miee Click to expand... Unajua ulichofanya
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,613 Reaction score 119,776 May 24, 2024 #6,782 Grahams said: Wanasema ombeni nanyi mtapewa....lakini tangu nimeanza kuomba hiyo Kiko Mwaka wa pili huu hujaniletea Mjukuu 🤗 Hili baridi la Arusha litaniua Babu yenu, Fanya kuniletea walau Kiko niwe navuta vuta kupunguza baridi 😜 Click to expand... Mzee mwenzangu umeomba kiko kwa Joannah kitaalam sana😅😅😅😅
Grahams said: Wanasema ombeni nanyi mtapewa....lakini tangu nimeanza kuomba hiyo Kiko Mwaka wa pili huu hujaniletea Mjukuu 🤗 Hili baridi la Arusha litaniua Babu yenu, Fanya kuniletea walau Kiko niwe navuta vuta kupunguza baridi 😜 Click to expand... Mzee mwenzangu umeomba kiko kwa Joannah kitaalam sana😅😅😅😅
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,710 May 24, 2024 #6,783 ERoni said: Mzee mwenzangu umeomba kiko kwa Joannah kitaalam sana😅😅😅😅 Click to expand... Hahaha.............Natamani Mjukuu aupate huo ujumbe labda atanionea huruma Babu yake, maana hili baridi bila kuvuta Kiko nitateseka sana 😜
ERoni said: Mzee mwenzangu umeomba kiko kwa Joannah kitaalam sana😅😅😅😅 Click to expand... Hahaha.............Natamani Mjukuu aupate huo ujumbe labda atanionea huruma Babu yake, maana hili baridi bila kuvuta Kiko nitateseka sana 😜
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,710 May 24, 2024 #6,784 cacutee said: Sasa wewe vyako hutaki tule ila vya wenzio unataka ule inawezekanaje? Click to expand... Halafu pension imetoka tangu Mwezi uliopita ujue 😜 Hebu niletee Kiko Babu yako 🤗
cacutee said: Sasa wewe vyako hutaki tule ila vya wenzio unataka ule inawezekanaje? Click to expand... Halafu pension imetoka tangu Mwezi uliopita ujue 😜 Hebu niletee Kiko Babu yako 🤗
cacutee JF-Expert Member Joined Apr 9, 2024 Posts 1,679 Reaction score 4,271 May 24, 2024 #6,785 Grahams said: Halafu pension imetoka tangu Mwezi uliopita ujue 😜 Hebu niletee Kiko Babu yako 🤗 Click to expand... 😂😂😂 Ntumie ka, wine ka weekend
Grahams said: Halafu pension imetoka tangu Mwezi uliopita ujue 😜 Hebu niletee Kiko Babu yako 🤗 Click to expand... 😂😂😂 Ntumie ka, wine ka weekend
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,147 May 24, 2024 #6,786 ERoni said: Mzee mwenzangu umeomba kiko kwa Joannah kitaalam sana😅😅😅😅 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣Kiko!kweli Babu ni muombaji mahiri sana
ERoni said: Mzee mwenzangu umeomba kiko kwa Joannah kitaalam sana😅😅😅😅 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣Kiko!kweli Babu ni muombaji mahiri sana
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,147 May 24, 2024 #6,787 ephen_ said: Subiri nichukue peni na daftarii niandike ujuzi anaoutoa Joannah Click to expand... Ila huyu sumbai mbona Leo kanikalia kooni jamani🙆Mimi Nina ujuzi Gani nautoa 🤣🤣?
ephen_ said: Subiri nichukue peni na daftarii niandike ujuzi anaoutoa Joannah Click to expand... Ila huyu sumbai mbona Leo kanikalia kooni jamani🙆Mimi Nina ujuzi Gani nautoa 🤣🤣?
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 May 24, 2024 #6,788 Joannah said: Ila huyu sumbai mbona Leo kanikalia kooni jamani🙆Mimi Nina ujuzi Gani nautoa 🤣🤣? Click to expand... Nipe ujuzi, nina jambo langu na sumbai
Joannah said: Ila huyu sumbai mbona Leo kanikalia kooni jamani🙆Mimi Nina ujuzi Gani nautoa 🤣🤣? Click to expand... Nipe ujuzi, nina jambo langu na sumbai
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,147 May 24, 2024 #6,789 Grahams said: Wanasema ombeni nanyi mtapewa....lakini tangu nimeanza kuomba hiyo Kiko Mwaka wa pili huu hujaniletea Mjukuu 🤗 Hili baridi la Arusha litaniua Babu yenu, Fanya kuniletea walau Kiko niwe navuta vuta kupunguza baridi 😜 Click to expand... Babuuu,Mimi sikuwezi wewe Mzee wa mjini,wewe Kwa story zako itakuwa unakunywaga alkasusu na mchuzi wa pweza😂😂😂.....
Grahams said: Wanasema ombeni nanyi mtapewa....lakini tangu nimeanza kuomba hiyo Kiko Mwaka wa pili huu hujaniletea Mjukuu 🤗 Hili baridi la Arusha litaniua Babu yenu, Fanya kuniletea walau Kiko niwe navuta vuta kupunguza baridi 😜 Click to expand... Babuuu,Mimi sikuwezi wewe Mzee wa mjini,wewe Kwa story zako itakuwa unakunywaga alkasusu na mchuzi wa pweza😂😂😂.....
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,613 Reaction score 119,776 May 24, 2024 #6,790 Joannah said: 🤣🤣🤣🤣Kiko!kweli Babu ni muombaji mahiri sana Click to expand... Hii nimeikubali sana yani! Peleka kiko kwa babu yako kijijini🤣🤣🤣🤣
Joannah said: 🤣🤣🤣🤣Kiko!kweli Babu ni muombaji mahiri sana Click to expand... Hii nimeikubali sana yani! Peleka kiko kwa babu yako kijijini🤣🤣🤣🤣
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,147 May 24, 2024 #6,791 Grahams said: Hahaha.............Natamani Mjukuu aupate huo ujumbe labda atanionea huruma Babu yake, maana hili baridi bila kuvuta Kiko nitateseka sana 😜 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣Dah nyie ni wazee watukutu sana,ERoni hivi una uhakika huyu mzee mwenzio hapaki mkongo huyu?
Grahams said: Hahaha.............Natamani Mjukuu aupate huo ujumbe labda atanionea huruma Babu yake, maana hili baridi bila kuvuta Kiko nitateseka sana 😜 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣Dah nyie ni wazee watukutu sana,ERoni hivi una uhakika huyu mzee mwenzio hapaki mkongo huyu?
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,147 May 24, 2024 #6,792 ERoni said: Hii nimeikubali sana yani! Peleka kiko kwa babu yako kijijini🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Aaah Thubutuuuuu 😁😁😁huyo Babu toboa too,ukijichanganya tu utafurahia shoo
ERoni said: Hii nimeikubali sana yani! Peleka kiko kwa babu yako kijijini🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Aaah Thubutuuuuu 😁😁😁huyo Babu toboa too,ukijichanganya tu utafurahia shoo
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,613 Reaction score 119,776 May 24, 2024 #6,793 Joannah said: 🤣🤣🤣🤣🤣Dah nyie ni wazee watukutu sana,ERoni hivi una uhakika huyu mzee mwenzio hapaki mkongo huyu? Click to expand... Nachojua huyu mtaenda sawa, speed ya wazee si unaijua hatuna haraka🤣🤣🤣
Joannah said: 🤣🤣🤣🤣🤣Dah nyie ni wazee watukutu sana,ERoni hivi una uhakika huyu mzee mwenzio hapaki mkongo huyu? Click to expand... Nachojua huyu mtaenda sawa, speed ya wazee si unaijua hatuna haraka🤣🤣🤣
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,147 May 24, 2024 #6,794 ephen_ said: Nipe ujuzi, nina jambo langu na sumbai Click to expand... Nimezeeka mimi
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,147 May 24, 2024 #6,795 ERoni said: Nachojua huyu mtaenda sawa, speed ya wazee si unaijua hatuna haraka🤣🤣🤣 Click to expand... Aaah wapi hapo Bora Kiko nikuletee legend popote ulipo😥
ERoni said: Nachojua huyu mtaenda sawa, speed ya wazee si unaijua hatuna haraka🤣🤣🤣 Click to expand... Aaah wapi hapo Bora Kiko nikuletee legend popote ulipo😥
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,613 Reaction score 119,776 May 24, 2024 #6,796 Joannah said: Aaah wapi hapo Bora Kiko nikuletee legend popote ulipo😥 Click to expand... Sasa hapa umeongea kikubwa zaidi, niletee legend. Si unajua mimi navuta taratibu sina hata haraka...🤣🤣
Joannah said: Aaah wapi hapo Bora Kiko nikuletee legend popote ulipo😥 Click to expand... Sasa hapa umeongea kikubwa zaidi, niletee legend. Si unajua mimi navuta taratibu sina hata haraka...🤣🤣
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,255 Reaction score 90,457 May 24, 2024 #6,797 🚶♂️🚶♂️🚶♂️
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,613 Reaction score 119,776 May 24, 2024 #6,798 Tresor Mandala said: 🚶♂️🚶♂️🚶♂️ Click to expand... Mkuu vipo tena, wazee tunataka kupumzishana ili uzee wetu uende vizuri 🤣
Tresor Mandala said: 🚶♂️🚶♂️🚶♂️ Click to expand... Mkuu vipo tena, wazee tunataka kupumzishana ili uzee wetu uende vizuri 🤣
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,255 Reaction score 90,457 May 24, 2024 #6,799 ERoni said: Mkuu vipo tena, wazee tunataka kupumzishana ili uzee wetu uende vizuri 🤣 Click to expand... Ndio maana nawapisha mkuu..nazurula kariakoo usiku kuzuri sana
ERoni said: Mkuu vipo tena, wazee tunataka kupumzishana ili uzee wetu uende vizuri 🤣 Click to expand... Ndio maana nawapisha mkuu..nazurula kariakoo usiku kuzuri sana
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,147 May 24, 2024 #6,800 ERoni said: Sasa hapa umeongea kikubwa zaidi, niletee legend. Si unajua mimi navuta taratibu sina hata haraka...🤣🤣 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo Legend wewe Kiko unavuta bila papara?Dah nyie vijana mnaozeekea mjini ni watundu sana
ERoni said: Sasa hapa umeongea kikubwa zaidi, niletee legend. Si unajua mimi navuta taratibu sina hata haraka...🤣🤣 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo Legend wewe Kiko unavuta bila papara?Dah nyie vijana mnaozeekea mjini ni watundu sana