Sijui kama ni mimi tu, ama na wengine, huwa kuna maumivu na maudhi fulani hivi mtu akibamiza mlango wa gari, hata kama nimeazima. So huwa nasaidia kila napoweza kupunguza hiyo. Na situations ambazo zitahitaji mimi kufanya hivyo; kama wakati wa mvua, na mimi ndio nimeshika mwamvuli; au akiwa kabeba mtoto au chochote ambacho kitasababisha usumbufu kwake kufungua mlango; au pia kama namna gari ilivyo-park, inaruhusu yeye kuwa wa kwanza kuingia.
Ila honestly, it's not my thing, and I won't force it. But I do love helping with the seatbelt, like I can do that all day, everyday. And if she smells good, Oh lawwd have mercy!
Eeeh ujue watu wakisikia shati jekundu sijui wanafikiria ni yale mekundu ya kung'aa, aisee tupia tu red shirt. Afu crazy colors mbona zinanoga sana tu, especially kwa watu wenye confidence zao.
Hahah kuna miili mitamu Koh Koh kohTrue, some colors zinanoga wakiwa na confidence na mwili pia. Kama hii pink ya Nick Canon Imempendeza sana.
View attachment 328871
Hapo vipi?
Hahah kuna miili mitamu Koh Koh koh
Teh amri mpya "usitamani mwili wa mwanaume asiye wako". HahahaahAcha tu!, inabidi ku admire kimya kimya 🙂
Teh amri mpya "usitamani mwili wa mwanaume asiye wako". Hahahaah
NI KUJISUMBUA TU. AFTER ALL NI MADHARA GANI MTU ANAPATA ASIPO MECHISHA NGUO? WE HAVE A LOT TO DO INSTEAD OF WASTING TIME KUMECHISHA.
Suti nazo zina miili yake mama, mwingine ukimkuta na msuti wake unatamani umtie kwenzi.
Nyie wadada toeni Do's na Don't sio soga tu.. Ka-thread katajaa umbea sasaHahaha ndo maana unaambiwa Usichague mchumba kwenye sherehe. Kila mkaka was "mwaaaaaah". Afu wengi wana vile vimiili vyangu navyovipenda Koh Koh
Bana kuna mtu akivaa suti unajikuta tu umenuna kama inakuhusu vile
Ahhaha si hapo tumesema usivae oversized sutiNyie wadada toeni Do's na Don't sio soga tu.. Ka-thread katajaa umbea sasa
basi tu pink hainivutii,kisha naamini ipo kike zaidikwa nini?
Ndio jibu nililokuwa nalitegemea.basi tu pink hainivutii,kisha naamini ipo kike zaidi
While you waste time on other things.......Some people waste time in the 'art of dressing'NI KUJISUMBUA TU. AFTER ALL NI MADHARA GANI MTU ANAPATA ASIPO MECHISHA NGUO? WE HAVE A LOT TO DO INSTEAD OF WASTING TIME KUMECHISHA.
mkuu wanaovaa wavae lakini sio mimi.mimi nitavaa ikiwa tu ni uniform ya kazi.Ndio jibu nililokuwa nalitegemea.
Very true....While you waste time on other things.......Some people waste time in the 'art of dressing'
Mkuu upo vizuri sana kwenye jeans, mi huwa napendelea boot cut au straight.Aisee, kumeibuka tabia siku hizi ya kuvaa nguo za kubana! Sijui imesababishwa na nini?!? Wachezaji wa NBA walikuwa hawana tabia za kuvaa nguo za kubana na matisheti kama ya kike. Lakini siku hizi wakiongozwa na Westbrook ndiyo imekuwa fasheni.
Ni afadhali mwanaume avae loose clothes haswa jeans na pants kuliko kuvaa za kumbana na kumchoresha mwili.
Ndiyo maana mimi nikiwa nanunua jeans uwa napendelea straight au regular. Hizo slim nawaachia wazungu! Nikiona mtu mweusi ndani ya slim, nafsi yangu inasononeka.
Mostly kiatu,mkanda na saaKiatu,Saa,Simu na Pafyum hua vinasema wewe ni mwanaume wa aina gani...
Na perfume pia huwezi kupendeza halafu unanuka jashoMostly kiatu,mkanda na saa