Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,895
wapendwa,
hapo inadhihirishwa haja ya mume na mke kujadili kwa uwazi hisia na mambo mengine yahusuyo mapenzi, vinginevyo itabaki kudanganyana kila siku.
mbarikiwe sana wapendwa
Glory to God!
Kazi yeyote inayo ambatana na kumridhisha mwanadamu ni ngumu sana