Kama bado kijana unaejitafuta kaa mbali na mwanamke ambae hawezi kumudu hata mahitaji yake au anataka kuishi extravaganza life kwa mategemeo mwanaume awe sponser

Ukishaanza kuona msg za hivi,"bebi nikuulize kitu au bebi kuna kitu nataka nikwambie"tafakari na uchukue hatua kabla ya kujibu,maana hapo ujuwe kumekucha...