maurice bernad
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 314
- 213
hivi wewe ni wa kiume kweli? maurice bernadHaka kaishu nimekafikiria leo sababu ya mambo yanayoendelea hasa kwa dada zetu....
Kuongeza makalio ila ishu kama mwanaume nimegundua
"We men dont love chura but when it comes to matter of comparison we love the best"
Unakutaa dada zetu nw wanapga sana picha za kuonyesha makalio shida iko pale mwanaume unapoona huyu hana mzigo ka yule ndo apo sasa tunapoanza kucompare na kuanza kutafta chenye uboraa
Mkitaka tusipende chura acheni kuyanadi makalio yenu bhc
$#napita mcininukuu vbaya
Kama una chura amazing flani hivi tutafutane mkuu, napenda sana hayo magwasuma sio siri.hivi wewe ni wa kiume kweli? maurice bernad
Lijal kabisaahivi wewe ni wa kiume kweli? maurice bernad
Hahahaa namsbr ajeeHujaona chura ya geniveros ww...[emoji3][emoji3]
Hupendi peke yako
bora tu aje atuambie kama ni ke au me, ila waweza msaidiaHahahaa namsbr ajee
hahahahahah na kama ni flat screen itakuwaje? BTW mie nilishadakwa kama nilivyo so jimbo liko na mgombea tayariKama una chura amazing flani hivi tutafutane mkuu, napenda sana hayo magwasuma sio siri.
lijali ni nini eti? Rijali au lijalLijal kabisaa
Najua huna chura dada yanguafadhali
kabisa haipoNajua huna chura dada yangu
Naona umefarijika na post miss chagga 😀.afadhali
kabisa nimefarijikaNaona umefarijika na post miss chagga 😀.
Hahaha vipi plasma au...afadhali
leo nimepigwa promoHahaha vipi plasma au...
Churaa nimvuto wa muda mfupi...
aaaah! kumbe ni mugombea? apply multiparty system ili uweze kuwa choice nzuri zaidi ww nipe nafasi na mimi niweze kutangaza sera zangu mtoto mzuri, kama una chura lkn.hahahahahah na kama ni flat screen itakuwaje? BTW mie nilishadakwa kama nilivyo so jimbo liko na mgombea tayari
eti kama nina chura, nakwambia nilivyo hivi hivi kuna aliyejitosa so sihitaji tena.aaaah! kumbe ni mugombea? apply multiparty system ili uweze kuwa choice nzuri zaidi ww nipe nafasi na mimi niweze kutangaza sera zangu mtoto mzuri, kama una chura lkn.
mm ni jimbo na lishapata mgombeaaaaah! kumbe ni mugombea? apply multiparty system ili uweze kuwa choice nzuri zaidi ww nipe nafasi na mimi niweze kutangaza sera zangu mtoto mzuri, kama una chura lkn.