Hii ipo kwa jinsia zote, nadhani ni weakness ipo kwa kila binadamu. Hata wanawake wapo wa aina hii, ukimpenda sana na kujaribu kuwa naye karibu anadai una wivu, ukisema umpe uhuru atadai you don't care etc. hayo mambo ndo yanayofanya maisha yawepo, maana bila changamoto mapenzi hayanogi