safiiii.....jiulize kwa nini waliamia Kenya?
pole lakini watz walinyamaza waliposikia ubalozi unaamishiwa kenya , kwa hiyo utafanyaje mkuu
Pale ubalozini nilipojaribu kuwauliza kulikoni waliniambia kuna mkenya mmoja akishughulikia viza za tz ndio mambo huwa hivyo , kama Membe atalishughulikia suala hili mapema kabla halijakomaa atakuwa amewasaidia sana wale wanaoomba na wanaosubiri majibu ili wasijekukwama kama akina sisiWa Tanzania ni wakunyanyasika tu hata wahindi walisha wahi wanyanyasa hapa nchini kwao ubalozi wa marekani kulikuwa na kamama ka kihindi pale acha tu!
Ha ha haaaa mkuu, ila ukweli ni kwamba english speaking countries zote ni wahuni vumilieni tu.... lakini mlikuwa wapi wakati wanahamishia hudumu ya viza kenya, unaweza kuta tatizo sio wakenya bali ni janja ya waingereza wenyewe kupunguza namba ya wabongo wanaoenda uk,,,, fanyeni uchunguzi kwanza:twitch:????????
lakini ni waziri ambaye suala hili liko chini yakeMkuu wala usiangaike na Benard, maana ataishia kusema tu Wakenya ni Majoka ya Mdimu...opcorn:
Issues kama hizi ni lazima ziangaliwe strategically. Ukiikosea kidogo everything would be blown out of proportion na ni kwa hasara yetu. It is time to start thinking na kuwa majanja kuona mbali guys na sio kulalamika lalamika tu bila sababu